Breaking: Netanyahu akubali kusitisha vita baada ya shambulio la Iran asubuhi ya Leo 24.06.2025

Breaking: Netanyahu akubali kusitisha vita baada ya shambulio la Iran asubuhi ya Leo 24.06.2025

Kabondwa wapi? Yale majengo?

Je kubonda huko kulizuia Israel kutkeleza malengo yake ya kuua viongozi wa jeshi wa Iran na kulipia kambi zao pamoja na kulipua vinu vyake vya nukes?
Israeli alichofanikiwa ni kuua viongozi pekeyake, hakuna kambi wa nuke site aliopiga na kuleta madhara, kashindwa Amrikani katika shambulio lake katika nuke imethibishwa hakuna madhara yoyote. Ila Muajemi kazivuruga base zote za Israeli. Israeli mara hii imepata aibu kubwa na uongo wake umefika mwisho
 
Refa kauza mechi aise 🤣
Screenshot_20250624-214359.png
 
Soon itafahamika kama wamelipua zote au Lah, but I am sure wamelipua zote. Hayo ni maneno ya kujifariji tu
Waliosema ni hao US wenyewe kuwa katika vinu 8 vimelipuliwa vitatu.
Na hapo bado hawana uhakika kama hivyo vitatu wamelipua kiusahihi.
 
Baada ya kipigo eti tumefikia malengo... haha hapa ni sawa na Captain wa Titanic aseme amefanikiwa kupaki meli salama chini ya bahari kama hivi:

And the Captain of the Titanic successfully parked the ship on the bottom of the ocean
 
Back
Top Bottom