Breaking: Netanyahu akubali kusitisha vita baada ya shambulio la Iran asubuhi ya Leo 24.06.2025

Breaking: Netanyahu akubali kusitisha vita baada ya shambulio la Iran asubuhi ya Leo 24.06.2025

Ila hat
Lengo la Israel lilikuwa ni kuharibu mitambo yote ya Nuclear ya Iran. Na wamekamilisha hilo, kulikuwa na haja gani ya kuendelea na vita?? Israel inapigana kwa kutumia akili ya hali ya juu sana, haipigani kwa mihemko tu kama kuku aliyekatwa kichwa.
Aki apigwe si ndio
 
Ni wewe tu unajitoa akili, ila dunia nzima inaelewa Israeli amebondwa vibaya na Muajemi mpaka kaomba poo.
Kabondwa wapi? Yale majengo?

Je kubonda huko kulizuia Israel kutkeleza malengo yake ya kuua viongozi wa jeshi wa Iran na kulipia kambi zao pamoja na kulipua vinu vyake vya nukes?
 
Unaropoka nini wewe?
Iran ana nuclear site 8.
Israel na USA wamelipua nuclear site 3 na 5 ziko operational.
Na Kuna nuclear site Moja kubwa kuliko ya Fordow ambayo Ina wanasayansi wa Urusi humo ndani.
Malengo yamefeli hayajatimia.
Soon itafahamika kama wamelipua zote au Lah, but I am sure wamelipua zote. Hayo ni maneno ya kujifariji tu
 
Back
Top Bottom