Kitu ambacho nimegundua ni kuwa Israel na Marekani wametumia Akili moja kubwa ipo ivi i kesho kutwa yani Date 26/06/2025 I !!!
Iran yote inaingia kipindi cha SHIA MUHARAM kwaiyo Iran inategemea ugeni mkubwa ktoka nchi mbalimbali Duniani kuja pale Iran kwenye mambo ya Dini !!!
Israel na Marekani wakaona waanzishe vita kabla ya siku chache ya MUHARAM ili mambo yakiwaendea kombo watake kusitisha Vita!!
mana Iran japo itasukumwa na jambo la Dini kusitisha vita.. kipindi ichi Iran yao inavuna pesa nyingi kipindi ichi cha Muharamm !!!
ndio icho kimetokea kama sio Muharam Iran isingesitisha vita kwasasa..
. Israel na Tramp mipango yao imebainika kwasasa.
Wamejua kikipita kipindi iki cha Muharam Iran aitosikiliza mtu yoyote kusitisha Vita. .
Sio mbaya wazo lao zuri mtego wao mzuri japo sasa kuna Aman
Netanyahu kajifunza kitu. Kuwa kile yeye anawafanyia wenzie nayeye anaweza kufanyiwa tena kwa siku chache tu..