Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,063
- 12,171
Kichekesho cha karne hiki."Israel has eliminated a dual, immediate existential threat - both in the nuclear and ballistic missile realms
Yaani moto aliopelekewa leo na namna mji wa Beersheba ulivyogeuzwa vifusi halafu unapigwa propaganda za kijinga kabisa eti wamelemaza uwezo wa makombora.
Jana Iran kapiga kambi tatu za kijeshi za Marekani kwa mpigo halafu bado unadanganyika kiboya namna hii?
Wanajeshi wa Marekani kambi ya Al Ubeid Qatar bado wanapangusa vumbi waliloshushiwa na Iran.😂