MBWARI
JF-Expert Member
- Sep 8, 2021
- 366
- 1,218
Kwahiyo utawala umebadilishwaIran kwa sasa wataanza upya maana wamelemazwa kila pande!
Pia hutakaa usikie Iran anafadhili magaidi
Kwahiyo utawala umebadilishwaIran kwa sasa wataanza upya maana wamelemazwa kila pande!
Pia hutakaa usikie Iran anafadhili magaidi
Israel imewaua voongozi karibia wote wa kijeshi wa iran, na wataalamu wa nyukliaHawezi kurudia uchokozi Tena moto anaopelekewa ni hatari sanaaa
Hao ni wanafiki Qur an ilishasema ,wanajifanya ni peacemaker ni hatari sana ..Wanakuja na mission ya fitna ili kuwachonganisha na wananchi.Kafiri ukiona anaomba suluhu ujue amezidiwa
Ndoto hii unaota ukiwa umelalia godoro la aina gani?Iran kwa sasa wataanza upya maana wamelemazwa kila pande!
Pia hutakaa usikie Iran anafadhili magaidi tena
Walidhani Iran ni SyriaItakuwaje sasa kuhusu ile uranium ambayo imesharutubishwa kufikia zaidi ya asilimia 60?
Netanyahu alisema amepata intel kuhusu mahali ilipo, hana tena mpango wa kufanya kitu kuhusu hii kitu!? Sio tishio tena kwa usalama wa taifa teule la Israel?
Vipi kuhusu regime change!?
Aaah, Netanyahu ametuangusha sana!!!
.Ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita
Hii kauli imekuja baada ya Iran kufanya mashambulizi makubwa asubuhi ya Leo kusini mwa Israel katika mji wa Beersheba na kupelekea vifo vya watu 20 huku mamia wakiwa wamenasa kwenye vifusi. Juhudi za uokoaji zinaendelea.. View attachment 3381147View attachment 3381148
Hao achana nao wanaujua huu ukweli ila wameamua kuchagua upande utaowapa amani ya moyo kisa ushabiki maandazi.
Mwongo wewe. Makubaliano ya kusitisha vita yalifikiwa jana kabla la shambulio hilo la Iran. Na makubaliano hayo yalikuwa yamesimamiwa na Watar. Kufuatia makubaliano Iran ilisema itasitisha mashambulizi baada ya masaa 6toka Tangazo lilipotolewa. Na Israel ikasema itasitisha baada ya masaa 12. Shambulio la Iran lilikuwa ndani ya masaa 6 kabla ya usitishaji kuanza.
Shambulio la mwisho la Iran halina uhusiano wowote na usitishaji vita. Muwe mnajishughulisha kufuatilia ukweli wa mambo kuliko kuropoka ovyo halafu baadaye unaoneka mwongo au mjinga na wale wanaofahamu.
Na wewe humkubali netanyahu!?Amechakazwa na waarabu. Mpuuzi mkubwa!
Pole sana kiongoziHao achana nao wanaujua huu ukweli ila wameamua kuchagua upande utaowapa amani ya moyo kisa ushabiki maandazi
Mkuu sababu kubwa hasa ni pressure aliyonayo Trump na kuendelea kubaki madarakani kutokana na kupingwa ni wakubwa wa US kwamba kavunja katiba kushambulia Iran lakini maandamano hayajawahi kutokea katika history ya Marekani, maandamano muda huu nandika yapo mlango mwa geti la whitehouse, na huenda jama waka mu-impeach TrumpOfisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita
Hii kauli imekuja baada ya Iran kufanya mashambulizi makubwa asubuhi ya Leo kusini mwa Israel katika mji wa Beersheba na kupelekea vifo vya watu 20 huku mamia wakiwa wamenasa kwenye vifusi. Juhudi za uokoaji zinaendelea.. View attachment 3381147View attachment 3381148
WaajemiAmechakazwa na waarabu. Mpuuzi mkubwa!