Netanyahu ni mhaini. Arudishe kwanza ardhi ya wapalestina anayoikalia kwa mabavu.Na wewe humkubali netanyahu!?
Hao watu 20 waliouwawa ukiwemo na wewe? Habari za Ceasefire zilikuwepo toka jana usiku na Iran imeshambulia leo asubuhi hivi uongo na Upotoshaji huwa unawasaidiaje?Ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita
Hii kauli imekuja baada ya Iran kufanya mashambulizi makubwa asubuhi ya Leo kusini mwa Israel katika mji wa Beersheba na kupelekea vifo vya watu 20 huku mamia wakiwa wamenasa kwenye vifusi. Juhudi za uokoaji zinaendelea.. View attachment 3381147View attachment 3381148
Hayo hakuwa malengo makuu ya hii vita!Kwahiyo utawala umebadilishwa
Vinu vya nukes vimeenda na hili ndio lilikuwa lengo kuu la uvamizi.Tumetoka RISING LION, ikaja we know where suprime leader is holding, ikaja Iran skies totaly controlled, ikaja REGIME change ...
IRAN hongera sana....umeonyesha nini maana ya kujitegemea..
Sidhani Israel kipigo alichopata atakuja Abadan kurusha japo jiwe ...
Natabiri,kuondolewa kwa NETANYAU na watu wake....amewatia hasara kwa kuaminsha IRON DOME
😂 😂 😂 Kombora zote zilitunguliwa!Huge defeat. Congratulations to Iran
Pamoja na US kuingilia kati lakini wapi
Hicho kipigo cha jana cha Qatar na Iraq kwenye kambi za jeshi la US
US kaona usiwe shida, kamlazimisha Netanyahu kusurender
AIBU KUBWA KWA TAIFA TEULE
😅😅😅Taifa la Mungu wamepondwa 😅😅hapo mpaka wamvizie tena ,waje na kauli ya regime change 😅😅.
Komeo Lachuma njoo uone wajinga wenzio walivyochezea ,unalilia sana Dm yangu.
Hujui kua Iran imeshajitoa kwa hao wachunguzi uchwara wa nuclearAyatollah amegwaya maanake alishaona kabisa anakufa hadi akaandaa warithi lakini sasa awe tayari kusaini makubaliano ya kuachana kabisa na utengenezaji wa silaha za nyuklia ili walau aendelee kuishi kama kiongozi mkuu.
Sasa hizi adithi za kufikirika za Natenyahu,Trump pamoja na wapambe wao zimeishia wapi - si Nayenyahu alisema Iran imepata kipigo kikali hawana tena missile hata moja iliyobaki zote zimelipuliwa no jeshi imara la Israel - cha ajabu asubuhi ya leo Iran ikarusha missiles chungu nzima kwenda Israel na kusababisha madhara/hasara kubwa kwa Israel, hawakuishia hapo walishambulia vile vile kituo kikubwa cha jeshi la anga LA Merikani huko Qatar pamoja no jkituo cha Jeshi la anga la Merikani huko Iraq!!Muda huu iran wamefyatua makombora mengine kuelekea tel Aviv
Kaka week hiii tutakumbusha Yemen anakiwasha labda nayeye awache sumbua watu wa Gaza..Iran kwa sasa wataanza upya maana wamelemazwa kila pande!
Pia hutakaa usikie Iran anafadhili magaidi tena
Tupatie ushahidi na siyo adithi za Natenyahu za kufikirika tu!!Vinu vya nukes vimeenda na hili ndio lilikuwa lengo kuu la uvamizi.
Wanajeshi na wana sayansi wameenda
Magala ya silaha na missile louchers zimeenda
Viwanda vya kuunda drones na silaha vimeenda kwa wingi tu
..
. Haya twambie Iran wamefanikiwa kuzuia kitu gani hadi uwapongeze?
Kama una elimu nioneshe project yako au ya ukoo wenu moja ,nikuoneshe zangu 100 .Una elimu gani? Maana sometimes naweza nikawa nabishana na form 4 failure.
View attachment 3381293
ustaarabu wa waislamu wa Shia hao jamaa wa suruali fupi na kobazi sijawahi kuuona hata huku mtaani wanatusumba sanaaHapo kama Iran ndio ingekuwa imeanzisha hii vita kisha Iran ikasema basi Israel kamwe asingekubali sulphur
Ila Iran na waislamu kwa ujumla ni watu wastaraabu. Japo Iran alitakiwa awachape mfululizo kwa mwezi mzima ndio isikilize upuuzi wao wa ceasefire