Breaking News Kiongozi Mkuu upinzani Lebanon ataka Hezbollah wapokonywe silaha kuepusha majanga zaidi, magaidi hawezi ishinda Israel

Vita ni ushirika, hiyo ndo kanuni, kwani waarabu wamezuiwa kupeleka majeshi? Kwani Iran hana washirika?
 
Nenda telegram utaona picha sio picha tu mpaka video

Sio video tu mpaka wazayuni wamekiri ingawaje wameficha sana idadi halisi
 
Asitupangie, akae mkao wa kula.
Huyu kiongozi ni puppet wa mayahudi.

Lebanon itaendelea kugawanywa, upande mmoja ukitawaliwa na Hezbollah na mwingine serikali
Uko nyuma ya keyboard unaenjoy maisha. You don't care.
 
Asitupangie, akae mkao wa kula.
Huyu kiongozi ni puppet wa mayahudi.

Lebanon itaendelea kugawanywa, upande mmoja ukitawaliwa na Hezbollah na mwingine serikali
Sawaaa wee waingizee wenzanko kwenye moto alafu

Wakianza pigwa uanze kulialiaa

Unataka Lebanon I 🇱🇧 ibaki majivu
 
Too late. Mchuma janga hula na wa kwao.
Netanyahu ameshaamua kupeleka kiama lebanon
 
Huyo unajua wa Lebanon wanamuita nini Jaajah yani kuku 😄

Huyo ni kibaraka wa Israel nani atamsikiliza? Tena Nasurlah huwa ana mdharau sana bora hata yule Michael Owen anaheshimika upande wa wakristo.
Aya anaemdhrau mwenzie yupo wapi now? Anajivinjari na bikira tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…