The branding
Senior Member
- Apr 17, 2022
- 186
- 320
Vita ni ushirika, hiyo ndo kanuni, kwani waarabu wamezuiwa kupeleka majeshi? Kwani Iran hana washirika?Kuna sehemu nimesema israhell ipo hovyo?
Ila pia kama nikisema israhell ipo hovyo ntakua sawa pia
Israhell iko pale ilipo kwasababu ya walioieka ila yenyewe kama yenyewe hata dakika tano haiwezi ikawepo pale ilipo
Unajua meli vita ngapi na zana na wanajeshi wamepelekwa na marekank uingereza ujerumani canad na wengine kwenda kuihami israhell baada ya iran kutishia kulipa kisasi cha haniyeh?
Kumbe hata nikisema israhell haina lolote ntakua niko sawa pia