Breaking News Kiongozi Mkuu upinzani Lebanon ataka Hezbollah wapokonywe silaha kuepusha majanga zaidi, magaidi hawezi ishinda Israel

Breaking News Kiongozi Mkuu upinzani Lebanon ataka Hezbollah wapokonywe silaha kuepusha majanga zaidi, magaidi hawezi ishinda Israel

Kuna sehemu nimesema israhell ipo hovyo?

Ila pia kama nikisema israhell ipo hovyo ntakua sawa pia

Israhell iko pale ilipo kwasababu ya walioieka ila yenyewe kama yenyewe hata dakika tano haiwezi ikawepo pale ilipo

Unajua meli vita ngapi na zana na wanajeshi wamepelekwa na marekank uingereza ujerumani canad na wengine kwenda kuihami israhell baada ya iran kutishia kulipa kisasi cha haniyeh?

Kumbe hata nikisema israhell haina lolote ntakua niko sawa pia
Vita ni ushirika, hiyo ndo kanuni, kwani waarabu wamezuiwa kupeleka majeshi? Kwani Iran hana washirika?
 
Mindset ya ajabu kwamba mpinzani lazima apinge tu, hata kama anawaambia ukweli msiopenda kuuskia, hao Hizbollah rockets zao nyingi zinakuwa intercepted wanajifurahisha tu, kama mnazo picha zikiua waisrael tuwekeeni hapa tuzione msilete story za "upinzani"
Nenda telegram utaona picha sio picha tu mpaka video

Sio video tu mpaka wazayuni wamekiri ingawaje wameficha sana idadi halisi
 
Asitupangie, akae mkao wa kula.
Huyu kiongozi ni puppet wa mayahudi.

Lebanon itaendelea kugawanywa, upande mmoja ukitawaliwa na Hezbollah na mwingine serikali
Uko nyuma ya keyboard unaenjoy maisha. You don't care.
 
Asitupangie, akae mkao wa kula.
Huyu kiongozi ni puppet wa mayahudi.

Lebanon itaendelea kugawanywa, upande mmoja ukitawaliwa na Hezbollah na mwingine serikali
Sawaaa wee waingizee wenzanko kwenye moto alafu

Wakianza pigwa uanze kulialiaa

Unataka Lebanon I 🇱🇧 ibaki majivu
 
Too late. Mchuma janga hula na wa kwao.
Netanyahu ameshaamua kupeleka kiama lebanon
 
Huyo unajua wa Lebanon wanamuita nini Jaajah yani kuku 😄

Huyo ni kibaraka wa Israel nani atamsikiliza? Tena Nasurlah huwa ana mdharau sana bora hata yule Michael Owen anaheshimika upande wa wakristo.
Aya anaemdhrau mwenzie yupo wapi now? Anajivinjari na bikira tu
 
Back
Top Bottom