Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

Tatizo ni kuwa unamtokea mtu ili unyandue umuache lakin yeye anakuja na mbinu za kukuweka karibu zaidi na ww unakuwa karibu kweli mnatengeneza bond ambayo si rahis kuivunja

Ile mbinu ya kusema nagonga kisha naingia mitini unakutana na ulimbo unagonga unaganda hapo hapo
 
Mim ni mmoja wapo, iyo kitu kuMove on uwa siiwwzagi maisha yangu yote, heri niwe na list ndefu ya bebez ila sio breakup
 
Amen napokea ila pia yawezekana kuna malipo hapa hapa duniani eeh huenda nalipia kwa wale niliowagaragaza pia hii dunia hii[emoji3]
Hivi mpaka sasa bado hajatokea mtu wa kumreplace yule jamaa?
manake ni muda tangu uliposimulia hiyo break up
 
Ngumu mkuu,imagn yy anakir mwenyew kwamba amecheat na moyon hana aman,dawa ni kuachana nae tu japo ndo ivo natakiwa nijipe muda
Sometimes huwa tunawadanganya kwa ajili ya mapenzi, amani, furaha na kupunguza muda wa kujibu maswali.

Just imagine jamaa kasema kweli na anajutia wewe unamwacha hayo mambo c sawa,

Mnachotakiwa wapendanao uongo mwingine hudumisha penzi ( baba wa imani aliwahi tumia uwongo kupata baraka zaidi, pia alituma uwongo huo huo kumtambulisha mke wake Sara ili asichapiwe, ) mtuelewe wapenzi
 

You’re very weak
Kuumizwa ni kitu cha kawaida mkuu
Hicho unacho kifanya sio ushujaa ni udhaifu
Wewe siku ukija kuumizwa utateseka sana
 
tupo pamoko man man!!
mimi huwa napenda kutulia na mmoja ila katika hali yafriend with benefit not love love...
tutafanya yote km wapenzi lakini mi nataka pussy.
ham zikiniisha see u next time
 
Hii kitu ndo napambana nayo aisee inanikata sana maini kibaya zaidi tulikuwa marafiki kabla ya kuwa wapenzi so tulijenga bond flani ivi amazing
kwa mara ya kwanza nimeshindwa kabisa ku move on mapenzi yanauma afu panapouma hapaonekani
Nimemwachia Mungu,Mungu naye ameniachia mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anywe soda popote alipo
 
Nipo kwenye situation iyo kwa Sasa mkuu mazoea ni mabaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…