Makabi Lilepo
Member
- May 28, 2023
- 95
- 148
Nadhani Kuna mahala unakosea katika kuandaa nyaraka zako. Kama haujakamilisha niPM Wakati mwingine sisi watanzania tunakwama kwa sababu mambo yenye wataalam tunataka kufanya wenyewe na tunakuwa tukiogopesshwa kuhhsu mkopo. Kuna jamaa aliwah kuambiwa kusajili kampuni ni milion 5 akaona afanye yeye lakin ikawa inamsumbua. BRELA wana Changamoto ya staff lakini mengine ni sisi wenyewe
Kweli kabisa ni miezi miwili tangu nitumie maombi ya kufungua kampuni wanaleta masahihisho moja moja mpaka sasa mwezi wa pili masahihisho hayaishi! Brela ifunuliwe ipo hovyo kabisa!