Briffault's Law inasema Mwanamke hawezi kuwa na mahusiano ya aina yoyote na mwanaume kama hafaidiki

Briffault's Law inasema Mwanamke hawezi kuwa na mahusiano ya aina yoyote na mwanaume kama hafaidiki

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
habari wadau.

Naona threads za kuwalalamikia wanawake wanapenda pesa na mali zimekuwa nyingi sana.

Ningependa vijana wote wa kiume wanaopenda kulalamika waisome na kuijua hii scientific Law ya mwanasayansi Robert Briffault ambayo ni a scientific law that describes the biological behavior of females where they have the power of choosing the male, while the reverse does not happen.

Briffault’s law: A relationship can’t exist between a man and a woman unless the woman gets something.​

Briffault's Law, which states that females only associate with males as long as they derive a benefit from the association.

“When the female has nothing to gain from being with the male, they are incompatible.”

This law suggests that women have the power to control and dictate the terms of relationships, and men are only able to participate in relationships when they provide benefits to women.

women have more power in relationships when it comes to deciding whether or not to pursue a relationship.

This law was formulated by Robert Briffault (1876-1948), an English surgeon, anthropologist, and author. In the field of sociology, many experts treat it as a scientific law

Briffault law pia inaeleza kwamba hata baada ya kiumbe cha kike kuingia kwenye uhusiano na kiumbe cha kiume, sio dhamana kwamba kiumbe hicho cha kike kitakuwepo kwenye uhusiano huo milele.
Manufaa ambayo kiumbe cha kike kinapata lazima yawepo ili mahusiano yaendelee kudumu. ikiwa mahitaji ya kiumbe cha kike hayatimizwi, mara nyingi kiumbe cha kike huacha uhusiano. hii ndio maana divorce nyingi zinatokea baada ya mwanaume kufukuzwa kazi ama kufilisika

Je, mwanaume anaweza kuwa katika mahusiano kama hafaidiki?

Wanaume tunaweza ndio. mahusiano sio lazima ya kimapenzi tu.

hata ya kirafiki na kijamii pia, wanaume ni watoaji na wasaidiaji wakubwa kuliko wanawake.

pia hiyo law ya mtoa mada na huyo mwanasayansi haiongelei binadamu tu, bali ni viumbe vyote aina ya Mamalia ( animal family )
 
Labda kama unazungumzia faida financially tu...
 
Kwahiyo ile "mi nakupenda ivo ivo ata kama hauna kitu" ni sound tu.
 
Hizi mambo zimeanza lini mbona wanawake walikua wanafugwa tu kama wanyama huko zamani?
 
Kwahiyo ile "mi nakupenda ivo ivo ata kama hauna kitu" ni sound tu.
Ndiyo ni sound tu,huu ndo ukweli mchungu ambao inabidi tuukubali na tukae nao kwa Amani bila kulalamika.
 
Siyo kweli..nina mwanamke ambae kila nikitafakari waga nakosa majibu.
Hakuna cha maana nampa,kuna muda makofi yanamhusu ila yupo na mimi..
Sina kazi ya maana,ila till now kanizalia watoto wawili
Ni jeuri na mbishi tukigombana but she is royal to me hata nikitaka pesa kwake napata
Anachopata kwangu ni mapenzi mawazo yangu coz almost matatizo yake huniambia,nampanga na kumshauri adi anaenjoy coz ananiamini to the maximum
Tuna miaka 8 sasa,since 2016.
nmepanga mwaka kesho nifike kwao,mungu anipe tu wepesi kwenye harakati zangu za kila siku.
So the guy was wrong,mwanamke akikuamini na ukaweza kumfanya afurahi utakula vyote vyake.
 
huyo mwanasayansi nae alipigwa chini,ndio akapanic na kuandika law zake hizo. Anyway! Mapenzi hayana formula.
 
Ni kweli kila upande.....kufaidika neno.pana sana....mtambuka.....
 
Siyo kweli..nina mwanamke ambae kila nikitafakari waga nakosa majibu.
Hakuna cha maana nampa,kuna muda makofi yanamhusu ila yupo na mimi..
Sina kazi ya maana,ila till now kanizalia watoto wawili
Ni jeuri na mbishi tukigombana but she is royal to me hata nikitaka pesa kwake napata
Anachopata kwangu ni mapenzi mawazo yangu coz almost matatizo yake huniambia,nampanga na kumshauri adi anaenjoy coz ananiamini to the maximum
Tuna miaka 8 sasa,since 2016.
nmepanga mwaka kesho nifike kwao,mungu anipe tu wepesi kwenye harakati zangu za kila siku.
So the guy was wrong,mwanamke akikuamini na ukaweza kumfanya afurahi utakula vyote vyake.
Indeed your woman is very exceptional bro.She's one in a million
 
Back
Top Bottom