Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah bro but am too broke kias kwamba ambacho nina uhakika wa kumpa ni vocha tu....Ninahangaika huku na kule kuna muda nakata tamaa namwambia akipata me aolewe tu, majibu yake ye yupo tayari kuvumilia na kusubiri hajachoka kusubiri hapo mwanaume napewa booster ya kupambana ila kitaa kwa moto sana..Siyo kweli..nina mwanamke ambae kila nikitafakari waga nakosa majibu.
Hakuna cha maana nampa,kuna muda makofi yanamhusu ila yupo na mimi..
Sina kazi ya maana,ila till now kanizalia watoto wawili
Ni jeuri na mbishi tukigombana but she is royal to me hata nikitaka pesa kwake napata
Anachopata kwangu ni mapenzi mawazo yangu coz almost matatizo yake huniambia,nampanga na kumshauri adi anaenjoy coz ananiamini to the maximum
Tuna miaka 8 sasa,since 2016.
nmepanga mwaka kesho nifike kwao,mungu anipe tu wepesi kwenye harakati zangu za kila siku.
So the guy was wrong,mwanamke akikuamini na ukaweza kumfanya afurahi utakula vyote vyake.
Dah! muheshimu sana huyo mkeo,ni adimu kupata wa hivyo kwa generation z,otherwise awe anatoka familia ya kitajir kwamba anachotaka kwako ni mapenzi ya dhati.Siyo kweli..nina mwanamke ambae kila nikitafakari waga nakosa majibu.