Briffault's Law inasema Mwanamke hawezi kuwa na mahusiano ya aina yoyote na mwanaume kama hafaidiki

Yeah bro but am too broke kias kwamba ambacho nina uhakika wa kumpa ni vocha tu....Ninahangaika huku na kule kuna muda nakata tamaa namwambia akipata me aolewe tu, majibu yake ye yupo tayari kuvumilia na kusubiri hajachoka kusubiri hapo mwanaume napewa booster ya kupambana ila kitaa kwa moto sana..

Ningekuwa na pesa huyu kwangu ni mwanamke wa kufanya nae maisha,ila sasa hili jaribu au majaribu ya kukosa shilingi kwangu ni kipengele
Ila mimi ndo nilimtoa bikra wazee😀
 
Dah! muheshimu sana huyo mkeo,ni adimu kupata wa hivyo kwa generation z,otherwise awe anatoka familia ya kitajir kwamba anachotaka kwako ni mapenzi ya dhati.
 
Faida ni nini ? Ukishafahamu hilo basi hakuna mahusiano yoyote ya maana ambayo hayana faida kwa walengwa na kama yapo at any given time hao watu wanapotezeana muda ni bora kila mtu akakata kona....

Quid Pro Quo sio lazima iwe material things...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…