Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Means mpango wao umezikwa rasmi?
 
Licha ya kupita kwa yoga huyu JAL sijawahi kumwelewa. Vunja kidogo hapo
 
Licha ya kupita kwa yoga huyu JAL sijawahi kumwelewa. Vunja kidogo hapo
JAL 123 ni code ya ndege ya kijapani iliyowahi pata ajali!

Code hii ni ufupisho wa wakubwa Fulani ambao walishastaafu lakini Bado Wana influence ya kutaka ya kwao yafanyiwe kazi kwenye mfumo!!

Yaani wanatengeneza mfumo wao ndani ya mfumo Kwa maslahi Yao ya Sasa na huko mbeleni tuendapo,yawezekana wanapanga hata uongozi ujao 2045 wa nchi!!!

Yapo majinamajina yanatajwa bila kuwa karibu na wao au bila baraka zao hupati au unapotea kimedani!!

Ni kama kimfumo Chao ndani ya mfumo na kana mimicking ya DS lakini sio DS!!

Sasa mmoja tayari ameshastaafishwa 2023 mwezi 5 kama tarehe 12 hivi,hebu go back and check!!

Bado wawili Kwa mujibu wao ambao JAL 2and 3 ,labda ni kete 4+6=10,hatujui!!

Tunabashiri coz hatuna uhakika Santa,tunasoma duru na trend kama nabii za Daniel na ufunuo was yohana na trend ya matukio ya hivi karibuni!!
 
Shukran sana. Wastaafishwe tu. Kuna mmoja niliona namna ya ukaaji wake bungeni juzi anakaa kama mtu anae ugulia maumivu sana ndani ya mwili wake. Rudi kwenye utambulisho alio ufanya samia bungeni juzi uone namna mzee alivyo simama na kukaa kwa kujivuta mno
 
Tatizo la Wana wa ulimwengu Wana hekima sana kuliko Wana wa nuruni!!

Ndugu zangu Hawa wenye. Taraja la akhera kama hitimisho kuu la hatma yao wanauelewa ulimwengu sana ndio maana wengi wanaishi urefu sana wa umri!!wanameza hazina hao,Hadi waitapike ndio roho huiacha mwili!!bila kuitapika ataugua tu lakini haendi huko!!

Sio sawa na hao wanaotarajia anti -gravity yaani kupaa juu kumlaki Bwana wa majeshi ambao wao hawajui chochote zaidi ya kumtegemea Bwana wao!!!ndio maana Hawa wasiposimama SAWA saw Kwa jina la Bwana wao wai kiroho ni rahisi sana ku be fixed hatma zao kirahisi sana na kuzikwa mapema hata kama Bado tunawahitaji!!

Najaribu aiseh!
 
Huu unafaa kuwa utaratibu rasimi.
 
Basi kama ndivyo na iwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…