BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

Mtemi Lissu na Chief Hangaya ni ustawi mkubwa kwa Taifa letu kukutana kwao.
 
Sasa kama alikubali kosa anatokaje?

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Punguwani Kaumia sana....roho mbaya na YAKIMASKINI....hili jambo limekuumiza sana eehh
 
Mama Barikiwa umejaa Upendo.Maridhiano ni muhimu..Kwa wanaccm wote aliyemjulia hali Tundu lisu hospital ni Mama peke yake.
 
CDM hawawezi kuja kupata kiongozi kama FAM. Mbowe atakumbukwa vizazi na vizazi vya wapenda haki na demokrasia ya nchi hii.
 
We jamaa una roho za kimaskini sana.

We kamanda wa lumumba uliyechoka.
 
Chadema ilihitaji WIN WIN situation na sio alivyotaka zitto na serikali yao. Zitto n mshirika wa serikali ya CCM so far hawezi kuwa sehemu ya kutatua changoto za chadema. Ndio maana chadema waliomba mkutano mapema sana, changamoto walizokutana nazo chadema huwezi kulinganisha na chama cha zitto wala mbatia.

Kwa hili chadema wameongeza imani kwa wananchi kwa walichokisimamia.
 
Swadakta.

Mh Tundu Lissu na Mh Samia wamekuwa mifano bora wa maridhiano. Sisi wananchi ni kufuata yote mema.
 
Mama amejua kupiga hatua zake vizuri mbele ya dunia amedhihirisha hana baya na upinzani ✔️
Bungeni kuna UVICO 19 . Acha mchezo uendelee. Mama hongera sana unajua haswa kuosha windscreen 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
 
Wale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini. Zitto kabwe alisema mapema, Chadema wakambeza...
Lissu/chadema waliomba kukutana na mama Samia tangu mwaka jana kabla ya bwana yako Zitto hajaanza.

Muwe na record vichwani,wenye kustahili wapate sifa stahiki...hongera chadema!✌
 
Hatuna umeme siku ya 10 Dogo hayo mengine ni ya kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…