BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

Sijui wale walomtendea maovu na wanaomtukana TL kisa siasa za vyama huko waliko wanajisikiaje...
Ndugai sijui hizi habari kazipokeaje...
Nchi hii nj yetu sote. Tupendane!
 
Balozi wa Tz huko Belgium na Staff wako Mjitafakari. Ina maana mmeshindwa kupata furnitures zinazoendana na hadhi ya Rais!!? Viti gani hivyo sasa. Halafu ona jinsi Picha ya Rais ilivyowekwa, yaani ilivyoegeshwa inaonyesha kama imeletwa kwa kushitukizwa tu. Rais wetu hapendi makuu lakini ni vema kuutendea haki Urais alionao.
 
CCM hatuna shida ya kukutana na upinzani Ila upinzani no shida hawataki hasa Chadema kumbuka Raisi Samia alikutana na vyama vyote vya upinzani Ila kikao Chadema peke yao walisusa!!!

Wenzao walikutana Rais hapo mshari nani kama sio Chadema?

Chadema ndani inaonekana kuna makundi mawili kundi taka Shari chini ya Mbowe ,Mnyika na genge lao na kundi lisilotaka Shari LA Tundu Lisu

Msimamo aliionyesha Lisu nje kukutana na Raisi Samia uko tofauti na msimamo wa hawa viongozi wa Chadema walioko ndani ya nchi

Hawa wa ndani hopeless kabisa ona sasa wanavyochekelea Lisu kukutana na Raisi wao kiliwashinda nini kukutana naye alipokutana na vyama vyote vya siasa? hata hapa ndani ya nchi ingwezekana mbona na opportunity Raisi aliitoa walioitikia akakutana nao

Niseme wazi chadema hawaelewi sasa hivi kuwa wanasimamia nini.Sababu kuu ni Chadema kujiona wao ndio pekee upinzani wengine wote hna kitu matokeo yake sasa wanaanza kupitwa hata na ACT wazalendo ambayo ilikuwa na wanachama wachache tu waha was kigoma sasa hivi imekamata baraza LA wawakilishi na serikali ya Zanzibar na kina wanachama kibao nchi ya Zanzibar sababu wako makini kisiasa.Na ndio chama kikuu cha upinzani kwa sasa sababu kinashika serikali Zanzibar chadema Zanzibar hawana kiti hats mjumbe tu wa nyumba kumi hawana
 
Hivi hakuna namna Bora ya kuhakikisha usalama wa Rais wetu zaidi ya vile kumpekua Lisu na kuvua jacket lake?
Ina maana kuwa bado hatuna vifaa vya kugundua vifaa vya hatari alivyo navyo mtu anaekwenda kuonana na Rais? Siamini,labda ni mbwembwe.
 

Hii sio mara ya kwanza kwa Lissu kutumia approach ya mtongozaji. Huwa anafanya hivyo na kusubiria kidogo kuona kama mitego yake inanasa. Akiona hainasi hachelewi kulipuka. Just mpe miezi miwili au mitatu; utamsikia tena akimshambulia Chief Hangaya na Serikali yake. Ninajua hili linakuja kwasababu ile mitego ya Lissu kwa mara nyingine haitanasa!
 
Kichwa Cha habari Kwenye post yangu hapo juu kinajieleza.Kinauliza swali,je? kuna watu roho zinawauma au ni Roho mbaya na Roho za kwa nini?

Tangu Rais wa JAMHURI ya Muungano wa TANZANIA,mhe Samia Suruhu Hassan akutane na makamo mwenyekiti wa CHADEMA taifa huko Brussels Ubeligiji kumekuwepo na maneno mengi mtandaoni wengine wakipongeza hatua hii wengine wakikejeli.

Mimi naomba nizungumzie wale wanaokejeli hatua hii eti Tundu Antipas Lissu ameongea kilekile alichoongea Zitto Kabwe ooh mara anataka mhe Rais aingilie Mahakama.

Ninachojiuliza hawataki Lissu na wengine warejee Tanzania? na hivyo Roho zinawauma? na wanaroho za chuki na mbaya hawataki kuona pia Mhe Mbowe akiwa huru?? Kwa kifupi watanzania wengi tumejaa unafiki wa kiwango Cha lami.Tunahitaji kupendana na kutakiana mema.

Niwaombe watanzania wenzangu tumpongeze mhe Rais kwa hatua hii hata kama hatatekeleza walichoongea na Mhe Lissu lakini ametekeleza jambo kubwa nalo ni haki ya kumsikiliza mtu bila kumpuuza.Pili mhe Rais anachembe ya huruma kubwa sana moyoni mwake kwani yeye ni kiongozi wa ngazi za juu pekee alienda kumuona Tundu Lissu akiwa hospital pale Nairobi Kenya.

Mhe Rais anastahili pongezi nyingi na Mhe Lissu anastahili pongezi nyingi pia kwa kutanguliza masrahi ya taifa mbele kuliko masrahi binafsi.Mhe Lissu amezungumzia Katiba kwa watanzania wote.Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania na viongozi wake.
 
Na wengi ambao hawajafurahishwa na kutaniko hili la Rais Samia na gwiji la siasa ambaye pia ni makamu mwenyekiti Chadema mhe. Lissu ni wahafidhina wa CCM.

Kwa nini hawataki siasa za maridhiano nchini? Hilo ni swali la kujiuliza kwa nguvu zote.

Ona hata wakati vyombo vya habari hilo ni jambo kubwa kwenye front page zao lakini magazeti yanayomilikiwa na ccm na wahafidhina wao wamepotezea habari kubwa kwao kama hiyo jambo ambalo sio la kawaida. Nikama wamemchukia mama kwa alichofanya.




View attachment 2122573
 
Kwa namna Rais alivyojibu swali la mbowe la Soud wa DEUTCHEWELLE kwa kupaniki nilikua Najua tu kuwa bado ana kitu rohoni na anahisi itakua fedheha kwake mbowe kuonekana hana kesi ya kujibu
Lakini muhimu tumshauri Rais asibebe dhambi za kurithi ; hao watu wameteseka sana hasa hao commandos
asijitafutie dhambi bure
 
Siasa za Tanzania ni kituko mkuu
Kabisa Crimea, ingekuwa nchi zingine moja ya issue kama, umeme, maji, kumtafutia mtu kesi ya ugaidi, kisa kaomba katiba mpya.

Mgao wa rasilimali za taifa usiozingatia uwiano, uhalisia, haki za pande mbili, masoko kuchomwa moto, kwa staili ile ile usiku ingetosha kuifanya Rais na serikali yake wajiuzulu. Sio Tanzania

Sasa wanataka wawatimue wamasai, wawaweke wawindaji (trophy hunters.) Hawahawa waliofanya Tembo, Twiga, Simba,Chui, kifaru karibu wote waishe.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…