Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Uko sahihi kabisa. Kuna watu inafaa mama aachane nao. Simon Sirro awekwe pembeni, amemuaminisha mama uongo juu ya kesi ya Freeman Mbowe hadi mama akaongea na BBC (chombo cha kimataifa), kwamba Mbowe ni gaidi.Tatizo la samia ni dogo tu bado anafuga majitu fulani yaliyo kuwa yanatumiwa na magufuli kuumiza watu
Hii list ya kina Kingai wanatakiwa wahojiwe vizuri baada ya hili la Mbowe na wenzake kufika mwisho