Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Unachuki na Walimu we bumunda.Tujifunze kutenga muda wa kuongea na watoto wetu
Siku hizi wanapitia mengi sana huko shuleni. Huenda kuna mwl anamnyima Amani, au kuna wenzie wanamfanyia bullying hana pa kushtaki maskini. R.I.P mtoto mzuri
Kwanini USISEME wazazi wake?
Kama aliuziwa na Mwalimu SI angejinylngea vyoo vya shuleni??
Tumia akili bichwa kubwa akili kisoda