Buguruni, Dar: Mtoto wa miaka 10 akutwa amejinyonga chumbani kwake

Tujifunze kutenga muda wa kuongea na watoto wetu
Siku hizi wanapitia mengi sana huko shuleni. Huenda kuna mwl anamnyima Amani, au kuna wenzie wanamfanyia bullying hana pa kushtaki maskini. R.I.P mtoto mzuri
Unachuki na Walimu we bumunda.

Kwanini USISEME wazazi wake?

Kama aliuziwa na Mwalimu SI angejinylngea vyoo vya shuleni??

Tumia akili bichwa kubwa akili kisoda
 
Tujifunze kutenga muda wa kuongea na watoto wetu
Siku hizi wanapitia mengi sana huko shuleni. Huenda kuna mwl anamnyima Amani, au kuna wenzie wanamfanyia bullying hana pa kushtaki maskini. R.I.P mtoto mzuri
Yaani haipiti siku mbili tatu, lazima nimuulize dogo, kuna mtu anakusumbua shuleni iwe mwalimu au mwanafunzi nikamshughulikie......
 
Gone too soon little star.. The room has a story to tell..!
 
Mama ni psychopath, ni hatari sana kuwa na mama mwenye afya mbovu ya akili.
 
Huyu miaka 6 alijinyonga. Duniani kuna maajabu
 
Kwenye kifo tata maiti huwa haiguswi hadi waje police, na wabongo wengi hilo wanalijua,sasa nashangaa hao majirani wenye kiherehere cha kushusha maiti kwenye kamba na kuiweka chini kabla ya police kufika! Nazani kuna watu wana engineer hiko kifo kwa kupoteza ushahidi! Maiti iliyojinyonga hakuna mtu anaweza akaisogolea bila police kuwepo!!
 
Msaada gani huo wakushusha maiti kutoka kwenye kamba ya kujinyongea bila ya jeshi la polisi kuwepo!? Labda mngesema mtoto mmemkuta kwenye kamba anapaparika ikabidi mumuwai kukata kamba hapo kidogo mnaweza mkaeleweka, tena na lazima mtoto angekua hai sema taabani!!
 
Inamaana walivunja tu mlango kabla hata ya kuanza kuchungulia dirishani!!??
 
Polisi wamekuja wameuchukua mwili wa mtoto, dada wa kazi, kaka wa marehemu na fundi aliyevunja kitasa cha mlango.
Huyo fundi ,dada wa kazi ,kaka wa marehemu wamekurupuka kuvunja mlango bila kufuata process za kuita mjumbe/mwenyekiti wa mtaa then wao ndiyo wawaite polisi then wajke kuvunja mlango ,kimasihara masihara unaweza kwenda kuisaidia polisi hata miaka 7 kwa uzembe tu.
 
Ilitakiwa kabla ya kuvunja mlango wamuite na balozi wa mtaa
 
Miaka 10 mkuu apate akili ya kujiua.
Ushawahi kupitia bullying ukiwa mdogo??
Inawezekana kabisa dogo wa miaka 10 kujiua, huenda huko shule anaonewa na wenzie, au kuna mwalimu anamuandama, au ana kasoro fulani kwenye mwili wake wenzie wanamcheka daily na yeye ndo mfano mbaya.

Nyumbani baba kazini, mama kazini kurudi usiku so ajabu hawaonani. Wakirudi ni kitafuta makosa yake kama hajafia uniform ni bakora au matusi.
Sababu ni nyingi jombaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…