Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Aisee umenikumbusha kitu ambacho kamwe mpaka nakufa nisingekikumbuka
 
Vyumba ambavyo maji ya mvua hayaingii ndani bei gan hapo bugurun?
Vyumba vipo vya kuanzia 25, 30 40 50 na kuendelea! Inategemea na bajeti yako, haviingii maji hata kidogo, mabondeni Kule kuna mpaka vyumba vya 10,000/=
 
Kuna baadhi ya wanyama wa kufuga nyumbani ambao hawaliwi siku hizi hawaonekani kuzurula kabisa, eti Wachina, hamna ndio hayo ya Buku ruin.
 
Machinjio ya vingunguti ni na jirani na buguruni.,.

Kuna kipindi nilikuwa na tabia nikitaka kula nyama nyingi ya kuchoma napita machinjioni usiku, nyama choma ya shilling 5000 peke yako humalizi.
 
Buguruni, tandika na mbagala huko pilau safi kabisa kwa 500 hadi 1,500 aisee.

Sasa kama hiyo supu hawa jamaa sijui huwa wanaiba hizo nyama?

Mtu kuteseka na maisha magumu dar ni kukosa taarifa tu.

Gharama za usafiri tandika, gombs, mbagala ni rahsi sana. Unaeza chukua boda distance ndefu tu bado ukalipa buku. Kariakoo posta 3,000 eti.

Kunasiku nimetoka zakiem hadi buguruni bajaji buku 4 nimekodi πŸ˜€.

Hapo buguruni hata pc bei zake haziwezi kuwa kubwa, ukihama utamis sana πŸ˜‚.

Sukari unapimiwa had kwa kijiko, maisha yapi customized hadi raha. Unahudumia kadiri ya hela uliyonayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…