Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Kitu Gani hicho mkuu!? Share na watazamamaji,wasomaji na
Wasikilizaji wetu wanakutegea Sikio ndugu mgeni rasmi!
Huyo binti albino alikuwaga anaranda randa sana maeneo yale kuna bwana mmoja rafiki yangu mnyalukolo alikuwa dalali wa mbao pale karibu na kimboka sasa nilikuwaga namtembeleaga pale ofisini kwake nikawa nakaona hako kabinti kazeruzeru jamaa aliniambia kanajiuzaga hivyo jamaa walipomtaja humu ndio nikakakumbuka hako kachangudoa,nadhani sijui ni kati ya 2008 - 2010
 
Hii hesabu umetisha, hata professor wa maths pale UDSM haiwezi, nashukuru sana kuanzia leo nikituma kilo ntakuwa nahesabu vipande 72. Vikikosekana basi vijana wa wa mgahawa wangu wamenipiga. Huwa nauza wali sahani moja vipande 3 vya nyama, ambapo vipande 72 ni sahani 24, nikikuta kwa daftari sahani 20 tu basi nimepigwa sahani 4. Umetisha mkuu.
 
Uzoefu wa kukaa bachelor kiongozi. Huwa tunahesabu kila kitu.
 
Yap. Alikula binti yake wa mwisho alikuwa anasoma Benjamin mkapa. Japo wengine walidai ni pombe zilimpelekea kufanya hivyo, wengine wakasema ni ushauri wa mganga ili baa ichangamke. Si unajua tena wachaga wakinusa pesa.
Mbona unamwongea marehemu na ulisema huko juu hasemwi.....🀫🀐🀐🀐
 
kuna jamaa walikuaga wanagonga supu ya utumbo uwanja wa fisi usiku kwenye vibatari akashangaa anatafuna lisaa lizima mzigo hausagiki kusogea kusogea kwenye mwanga bhana kumbe ule sio utumbo ni kondomu na janaba lake alilia kama mtoto
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… uwongo chai
 
Kwahiyo kaka unanishauri nihamie tandika?🀸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…