Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Kitu Gani hicho mkuu!? Share na watazamamaji,wasomaji na
Wasikilizaji wetu wanakutegea Sikio ndugu mgeni rasmi!
Huyo binti albino alikuwaga anaranda randa sana maeneo yale kuna bwana mmoja rafiki yangu mnyalukolo alikuwa dalali wa mbao pale karibu na kimboka sasa nilikuwaga namtembeleaga pale ofisini kwake nikawa nakaona hako kabinti kazeruzeru jamaa aliniambia kanajiuzaga hivyo jamaa walipomtaja humu ndio nikakakumbuka hako kachangudoa,nadhani sijui ni kati ya 2008 - 2010
 
Nyama robo ni 2500 na inatoa vipande 18 vidogo vidogo yva nyama. Hii wanauza 500 Ina vipande vingi hivyo wanatoaga wapi? 🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️
Hii hesabu umetisha, hata professor wa maths pale UDSM haiwezi, nashukuru sana kuanzia leo nikituma kilo ntakuwa nahesabu vipande 72. Vikikosekana basi vijana wa wa mgahawa wangu wamenipiga. Huwa nauza wali sahani moja vipande 3 vya nyama, ambapo vipande 72 ni sahani 24, nikikuta kwa daftari sahani 20 tu basi nimepigwa sahani 4. Umetisha mkuu.
 
Uzoefu wa kukaa bachelor kiongozi. Huwa tunahesabu kila kitu.
 
Yap. Alikula binti yake wa mwisho alikuwa anasoma Benjamin mkapa. Japo wengine walidai ni pombe zilimpelekea kufanya hivyo, wengine wakasema ni ushauri wa mganga ili baa ichangamke. Si unajua tena wachaga wakinusa pesa.
Mbona unamwongea marehemu na ulisema huko juu hasemwi.....🤫🤐🤐🤐
 
kuna jamaa walikuaga wanagonga supu ya utumbo uwanja wa fisi usiku kwenye vibatari akashangaa anatafuna lisaa lizima mzigo hausagiki kusogea kusogea kwenye mwanga bhana kumbe ule sio utumbo ni kondomu na janaba lake alilia kama mtoto
😅😅😅😅😅 uwongo chai
 
Yan nikiwa 2nd year chuo ndio rasmi nilianza maisha ya kujitegemea nikawa nimepanga around Tandika sokoni. Maisha simple sanaaa.. nimepika sana mapande ya kuku ua Amidori yale. Very simple and cheap life kwa mtu ambaye hujajipata bado. Mita 20 mbele Danguro la wahaya.

Nilipofikir kuanza kua na family tu miaka kadhaa baadae nikaona pale hapanifai tena nikaoondoka.
Kwahiyo kaka unanishauri nihamie tandika?🤸
 
Kama hivi buku 200.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    1.5 MB · Views: 7
Back
Top Bottom