Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Aisee kama si kibudu sijui. Sidhani kama buguruni kuna sehemu maalum wanakopata ng'ombe exclusively kwa bei chee. Nyama kilo 9000 hadi 1000 halafu supu na minofu yote uuziwe jero. Angalia mkuu usije kuwa wala nyama ya kima
 
Buguruni na Vingunguti machinjioni ni pua na mdomo
 
supu ya dog au cat
 
Mbona kama nyama ya 🐢
 
Huyo anaekuuzia nyama 1/4 kwa 2500 na huyu muuza supu wote ni first consummer wa vingunguti.
NA bado quality ya nyama yenyewe.
 
Niliwahi kukuta mishkaki ya Shilingi 20 pale Buguruni Mataa ila kufatilia nikaambiwa hua wanaenda kuchuna zile nyama za ngozi ya ng'ombe aliyechunwa hua kuna vinyama nyama vinabaki kwenye ngozi mwingine akaniambia hua wanachukua zile mimba za ng'ombe aliyechinjwa akiwa na mimba
 
Hako kaalbino nakajua, kalikuwa kanapenda kukaa karibia na mlango mdogo wa kutokea huku nyuma,
Karibu na baa ya Uropa Pub,
 
Kuna siku jamaa asubuhi kali, nimewakuta wanapakia kwa carry ng'ombe kibudu baada ya kushushwa katika carry nyingine, harafu ni umbali mfupi tu na pale nyama choma mwisho wa lami.
 
Hapana mkuu si swala la umasikini ni mila na utamaduni wao.Hata Italy, Spain, Greece wanakula sana hii 'Veal meat'. Na ina faida nyingi kiafya.
Veal meat siyo sawa na mimba ya ng'ombe mkuu. Kaangalie upya rejea yako.

Veal meat ni nyama ya ndama aliyekuzwa kwa week 16 hadi 18 siyo nyamafu ya mimba ya ng'ombe wanazouziwa Buguruni
 
If yu want peace Never try to understand everything!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…