Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Imeshatekwa...Bukavu sasa iko within the range of M23 Atillery.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeshatekwa...Bukavu sasa iko within the range of M23 Atillery.
Unajua mitandao huko serikali inaondoa! Kwa hiyo mpaka taarifa zikufikie, zinakuja zimechelewa kidogoTunakusubiri
Kama ilivyokuwa Eritrea kutoka ethiopiaKama una mawasiliano na hao Wapiganaji wa M23 wafikishie ujumbe kwamba kwa Sasa Viongozi wao wanapaswa watangaze ujio au kuzaliwa kwa nchi mpya ya Jamhuri ya Watu wa Kivu. Viongozi wa hao Waasi wajikite kuunda Serikali yao Madhubuti chini ya Jamhuri ya nchi mpya ya Kivu. Hii itasaidia sana kupata uungwaji mkono kutoka kwa Jumuiya za Kimataifa. Serikali mpya ya Utawala wa M23 ijikite Sasa katika kuhudumia Wananchi ili kuonyesha tofaufi Kati yao na Utawala wa Kinshasa
Wamerudi Burundi, niliona TikTok nikawa nacheka.Kwahiyo Makomandoo wa Burundi wamelala mbele?!😆😆😂😂
Halafu Raisi wa Burundi juzi juzi alikuwa anapiga mkwara mzito sana.
Kwaiyo hapa ukitaka iweje?
Ninachokiona ni kwamba majeshi ya nchi za Afrika ya Mashariki yanasumbuliwa sana na Guerilla tactics kuna haja hata JWTZ kujitathmini na na kujipanga upya kwa mafunzo dhidi Guerilla warfare.Wamerusi Burundi, niliona TikTok nikawa nacheka.
Wananchi wa Burundi wanawakaribisha wanajeshi wao wakisema afadhali mmerudi nyumbani.
Sasa Barabara iko wazi kuelekea Uvira hadi LBB lakini hawa Waasi hawana numbers na equipment ya kutwaa territory kubwa na kulishikilia wakiendelea kujitanua halafu Kongo ikapata msaada na kufanya counter attack waasi watarudishwa hadi Goma.Imeshatekwa...
Vita ni tofauti na hayo mawazo uliyo nayo. Ukishakosa supply means, ukishakosa hifadhi, basi ujue una kazi.Sasa Barabara iko wazi kuelekea Uvira hadi LBB lakini hawa Waasi hawana numbers na equipment ya kutwaa territory kubwa na kulishikilia wakiendelea kujitanua halafu Kongo ikapata msaada na kufanya counter attack waasi watarudishwa hadi Goma.
Bakongo bako vzuri kwenye masuala ya bata 😂😭.
Kuna habari za South Africa kupeleka Vikosi vingi Lubumbashi pamoja na ndege za kivita.Vita ni tofauti na hayo mawazo uliyo nayo. Ukishakosa supply means, ukishakosa hifadhi, basi ujue una kazi.
Taarifa zilizopo mezani kwangu(ambazo bado nataka nihakiki kutoka kwa wahusika). Drones za South Africa, zipo mikononi mwa M23. Kazi ya kwanza hapo ni kuwatumia wajanja kuiga technologia yake na kuikabili.
Congo ni kubwa, ukisikia kubwa elewa kubwa. Utaanzaje kwenda kukabiliana na mtu umbali wa km 500 na zaidi, huku unakopita ana uwezo wa kupata taarifa?
M23, mpaka ilianzishe, lazima hayo yote inayajua.
Kama kupindua serikali,siyo lazima ufike kila kata.
Wapeleke tu lakini hawana jeshi, litaangamizwa lote.Kuna habari za South Africa kupeleka Vikosi vingi Lubumbashi pamoja na ndege za kivita.
Waache wapeleke. Kilichozuia ndege kutua Goma, hata huko kitakuwepo. M23 ya sasa, ni tofauti na ya zamani. Angalizo: vitani kila upande unapoteza. Kama wanaoingia mijini ni maelfu, wengine wanabaki kulinda maeneo waliyoyapata, nani anajua ni wangapi? South Africa iliwahi kupigana vita wapi ikashinda!? Kama inawatakia matatizo mateka wake, basi ijichanganye.Kuna habari za South Africa kupeleka Vikosi vingi Lubumbashi pamoja na ndege za kivita.
Waasi hawana air cover wako vulnerable kwa mashambulizi ya anga sana.Wapeleke tu lakini hawana jeshi, litaangamizwa lote.
Waasi wanapigana vizuri wakiwa kandokando ya Rwanda lakini wakisambaa na kufikia Katanga watakuwa wako uchi bila Rwandan Anti aircraft na Rwandan Radar Ndege za South Africa na Helicopter gunships zitawashukia kama Mwewe.Waache wapeleke. Kilichozuia ndege kutua Goma, hata huko kitakuwepo. M23 ya sasa, ni tofauti na ya zamani. Angalizo: vitani kila upande unapoteza. Kama wanaoingia mijini ni maelfu, wengine wanabaki kulinda maeneo waliyoyapata, nani anajua ni wangapi? South Africa iliwahi kupigana vita wapi ikashinda!? Kama inawatakia matatizo mateka wake, basi ijichanganye.
Japo mpaka sasa wapo, na wengine bado wapo Burundi hawajajoin wenzao huko kibaruani.
We mjamaa mnafki kama Mcongo man wiki za nyuma hapa uliwapamba m23 balaa siku mbili hizi unaongea fact hata kama zitawaumiza m23 nini kimekupataWaasi hawana air cover wako vulnerable kwa mashambulizi ya anga sana.
Mimi simpambi mtu mimi mara nyingi naongea facts, na sina ID nyingine zaidi ya hii ndio maana unanishutumu, lakini WANAFIKI huwa wana ID nyingi zingine za kusifia zingine za kushutumu zingine za kutukania ambazo hata zikifungiwa hakuna hasara😆😁We mjamaa mnafki kama Mcongo man wiki za nyuma hapa uliwapamba m23 balaa siku mbili hizi unaongea fact hata kama zitawaumiza m23 nini kimekupata
Je, una uhakika hawana support yoyote?Waasi wanapigana vizuri wakiwa kandokando ya Rwanda lakini wakisambaa na kufikia Katanga watakuwa wako uchi bila Rwandan Anti aircraft na Rwandan Radar Ndege za South Africa na Helicopter gunships zitawashukia kama Mwewe.
Waasi wanapigana vizuri wakiwa kandokando ya Rwanda lakini wakisambaa na kufikia Katanga watakuwa wako uchi bila Rwandan Anti aircraft na Rwandan Radar Ndege za South Africa na Helicopter gunships zitawashukia kama Mwewe.
Hapana, Rwanda itaongezea man power ya kufanikisha hiloSasa Barabara iko wazi kuelekea Uvira hadi LBB lakini hawa Waasi hawana numbers na equipment ya kutwaa territory kubwa na kulishikilia wakiendelea kujitanua halafu Kongo ikapata msaada na kufanya counter attack waasi watarudishwa hadi Goma.