BUKAVU: M23 yakuta mlango wa mji wazi

BUKAVU: M23 yakuta mlango wa mji wazi

Kama una mawasiliano na hao Wapiganaji wa M23 wafikishie ujumbe kwamba kwa Sasa Viongozi wao wanapaswa watangaze ujio au kuzaliwa kwa nchi mpya ya Jamhuri ya Watu wa Kivu. Viongozi wa hao Waasi wajikite kuunda Serikali yao Madhubuti chini ya Jamhuri ya nchi mpya ya Kivu. Hii itasaidia sana kupata uungwaji mkono kutoka kwa Jumuiya za Kimataifa. Serikali mpya ya Utawala wa M23 ijikite Sasa katika kuhudumia Wananchi ili kuonyesha tofaufi Kati yao na Utawala wa Kinshasa
Kama ilivyokuwa Eritrea kutoka ethiopia
 
Wamerusi Burundi, niliona TikTok nikawa nacheka.

Wananchi wa Burundi wanawakaribisha wanajeshi wao wakisema afadhali mmerudi nyumbani.
Ninachokiona ni kwamba majeshi ya nchi za Afrika ya Mashariki yanasumbuliwa sana na Guerilla tactics kuna haja hata JWTZ kujitathmini na na kujipanga upya kwa mafunzo dhidi Guerilla warfare.

Jana nimeshangaa sana kuona wakazi wa Bukavu wakowacheka Askari wa Kirundi wakikimbilia Uvira na wengine kusarenda kwa Waasi mpaka nikasema kuna sabotage haiwezekani.

Kuna habari zinasema M23 inahonga Makamanda wa Majeshi pesa nyingi ili hujuma ifanyike na ndivyo walivyolisambaratisha jeshi la Kongo.
 
Sasa Barabara iko wazi kuelekea Uvira hadi LBB lakini hawa Waasi hawana numbers na equipment ya kutwaa territory kubwa na kulishikilia wakiendelea kujitanua halafu Kongo ikapata msaada na kufanya counter attack waasi watarudishwa hadi Goma.
Vita ni tofauti na hayo mawazo uliyo nayo. Ukishakosa supply means, ukishakosa hifadhi, basi ujue una kazi.

Taarifa zilizopo mezani kwangu(ambazo bado nataka nihakiki kutoka kwa wahusika). Drones za South Africa, zipo mikononi mwa M23. Kazi ya kwanza hapo ni kuwatumia wajanja kuiga technologia yake na kuikabili.

Congo ni kubwa, ukisikia kubwa elewa kubwa. Utaanzaje kwenda kukabiliana na mtu umbali wa km 500 na zaidi, huku unakopita ana uwezo wa kupata taarifa?

M23, mpaka ilianzishe, lazima hayo yote inayajua.

Kama kupindua serikali,siyo lazima ufike kila kata.
 
Kuna habari za South Africa kupeleka Vikosi vingi Lubumbashi pamoja na ndege za kivita.
 
Waache wapeleke. Kilichozuia ndege kutua Goma, hata huko kitakuwepo. M23 ya sasa, ni tofauti na ya zamani. Angalizo: vitani kila upande unapoteza. Kama wanaoingia mijini ni maelfu, wengine wanabaki kulinda maeneo waliyoyapata, nani anajua ni wangapi? South Africa iliwahi kupigana vita wapi ikashinda!? Kama inawatakia matatizo mateka wake, basi ijichanganye.

Japo mpaka sasa wapo, na wengine bado wapo Burundi hawajajoin wenzao huko kibaruani.
 
Waasi wanapigana vizuri wakiwa kandokando ya Rwanda lakini wakisambaa na kufikia Katanga watakuwa wako uchi bila Rwandan Anti aircraft na Rwandan Radar Ndege za South Africa na Helicopter gunships zitawashukia kama Mwewe.
 
We mjamaa mnafki kama Mcongo man wiki za nyuma hapa uliwapamba m23 balaa siku mbili hizi unaongea fact hata kama zitawaumiza m23 nini kimekupata
Mimi simpambi mtu mimi mara nyingi naongea facts, na sina ID nyingine zaidi ya hii ndio maana unanishutumu, lakini WANAFIKI huwa wana ID nyingi zingine za kusifia zingine za kushutumu zingine za kutukania ambazo hata zikifungiwa hakuna hasara😆😁

Mimi nawasapoti Banyamulenge wanaopigania HAKI zao za Kiraia namsapoti Kagame kujali usalama wa Nchi yake, lakini sisapoti kuiondoa serikali iliyochaguliwa kidemokrasia.

Pia ninasapoti Kongo Mashariki kupewa FULL AUTONOMY.
 
Waasi wanapigana vizuri wakiwa kandokando ya Rwanda lakini wakisambaa na kufikia Katanga watakuwa wako uchi bila Rwandan Anti aircraft na Rwandan Radar Ndege za South Africa na Helicopter gunships zitawashukia kama Mwewe.
Je, una uhakika hawana support yoyote?
 
Jamani naitamani hii mtanange kuna watu mnapigan8sha vita mjue
Waasi wanapigana vizuri wakiwa kandokando ya Rwanda lakini wakisambaa na kufikia Katanga watakuwa wako uchi bila Rwandan Anti aircraft na Rwandan Radar Ndege za South Africa na Helicopter gunships zitawashukia kama Mwewe.
 
Sasa Barabara iko wazi kuelekea Uvira hadi LBB lakini hawa Waasi hawana numbers na equipment ya kutwaa territory kubwa na kulishikilia wakiendelea kujitanua halafu Kongo ikapata msaada na kufanya counter attack waasi watarudishwa hadi Goma.
Hapana, Rwanda itaongezea man power ya kufanikisha hilo
 
Back
Top Bottom