Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Not only kukosa hewa huwezi jua pengine kulikuwa na leakages maji yakaanza kujaa kwenye cabin.
 
Hapo wanapoivuta wanaokoa ndege au watu?
Labda sielewi mimi ila kwa akili tu ndege hiyo ilikuwa inaonekana bado na ipo kwenye kina kifupi
Swali kwanini hawakufanya jitihada za kukata juu ili waokoe watu?

Ndege inavyutwa utafikiri wanavuta nyangumi
Nasubiri comment za waliookolewa waseme walivyokuwa wanavutwa
 
Nadhani ukumbuki kilichotokea kwa MV Bukoba baada ya kuitoboa/kuikata ili kuokoa watu.
 
Bahati mbaya wote waliokuwa wanavutwa ni maiti. Corpses do not talk.
 
Ukiikata kwa juu unakuwa unaichinja ni hasara kwa shirika.
 
We uliwahi kuona basi la abiria limepata ajali halafu mmiliki skawa analia hivyo utadhani waliokufa ajalini ni ndugu zake, ilhali bima ipo ana uhakika wa kupata mtaji wake ?
Hii clip inafikirisha, nyuma ya hili ipo siri nzito ila ndio imeshaanza kufunuliwa tayari , hakuna siri tena, itajulikana tu,


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…