Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Wanaokufa pamoja na kubaki vilema kwa ajili za mabasi ni wengi kuliko wa ajali za ndege.
Ndege huwa hazipati ajali mara kwa mara lakini huwa ikitokea ajali kupona ni nadra sana.
Na pia tanzania imejaa rushwa jambo ambalo unaweza kuta chombo kina hitilafu ila rushwa ikatumika kikaruhusiwa. Sitaki kucheza maisha yangu kamari
 
😄😁😆😅🤣😂
Hii ni habari ya uhakika kabisa,mimi nilikuwa shuhuda,hapo bukoba,na kipindi hicho runway ilikuwa ni changalawe!!hivyo akafananisha uwanja wa mpira na runway,kilikuwa kindege kidogo,kilikuwa kinafanya safari zake BK-MZA.Unaambiwa abiria ndio alimwambia pilot bnana vipi mbona huo ni uwanja wa mpira!!jamaa kushituka ndio akairudisha juu tena,kufika bk ili kutua akaanzia ule upande mwingine wa shule ya msingi BILELE,kuelekea ziwani,kuna mimawe kibao,Runway akaianzia katikati,bnana ndege ilipita pale kwenye banda la wasafiri spidi kama ndio ina take off!!Yaani uwanja wa bk ulikuwa na vituko sana kabla hawajauzungushia fensi,Kuna mwaka mwendesha baiskeli yuko anaendesha baiskeli yake akasikia ndege iko kichwani mwake wakati wa kutua,kwani mwamzon mwa runway kulikuwa kuna barabara kubwa tu ya magari,inaenda sehemu moja maarufu sana bk inaitwa KASHAI.Jamaa alikufa hapo hapo!!ila kuna vifo vingine i vya kipekee,unaona ndege ipo kichwani kwako!!!
 
😆😂🤣
 
Sijawahi kuona precision ikisoma kwenye radar
 
Nimejibizana nao kwa Kuitetea tu Tanzania yangu na Uvutaji Ndege na Kamba ya Katani huku tukiwa tumejipanga Msururu Mamba wakituvizia Kutung'ata mpaka nimechoka hivyo nawaomba nanyi mkanisaidie huko.
 
Yote tisa kuna mtu alikua ameshikiwa mwamvuli asilowe
Huyo aliyekuwa hataki Kulowana ( Mr. Muongo Muongo wa Taifa ) japo ni mwana Simba SC Mwenzangu ila tokea atudanganye Watanzania kwa tukio Kubwa la tarehe 17 Machi, 2021 kuwa kaongea na Mgonjwa na ni mzima wa Afya yuko Ofisini anaendelea na Kazi wakati kumbe tayari alikuwa Frijini Kwa Mzena kisha baadae Lugalo simuamini tena na nimeshamdharai mazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…