Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Sasa nyie mnategemea nn katika nchi inayo promote ulevi na umalaya. Imagine nchi nzima uwekezaji ni vilabu vya pombe na vituo vya dada poa, unazani tunaweza fikiria kuwekeza kwenye nyenzo na technolojia za kupambana na majanga na hajari ?
 
Sasa nyie mnategemea nn katika nchi inayo promote ulevi na umalaya. Imagine nchi nzima uwekezaji ni vilabu vya pombe na vituo vya dada poa, unazani tunaweza fikiria kuwekeza kwenye nyenzo na technolojia za kupambana na majanga na hajari ?
HIV hatari tumesha pambana nayo! CORONA hatari tumepambana nayo mpaka mabeberu wakanyoa ndevu zao! Umasikini ndio tunaendelea kupambana nao! Sisi kama mandonga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata 2015/2016 ndege ya auric ilishindwa kutua uwanjani hapo...


Huo uwanja ujengwe ukamilike na ukidhi vigezo vyote vinavyopaswa kuwepo kwwnye viwanja vya ndege
 
Hata 2015/2016 ndege ya auric ilishindwa kutua uwanjani hapo...


Huo uwanja ujengwe ukamilike na ukidhi vigezo vyote vinavyopaswa kuwepo kwwnye viwanja vya ndege
Hahaaaa hata hicho kilichopata ajari Hapo 1997ni cha kampuni hiyo hiyo.Hapana mkuu kwa sasa uwanja upo kwenye kiwango cha kitaifa,nadhani kwa sasa urefu wa run way ni kama 1.3km,sio mbaya.Hapo zamani ndio ilikuwa hatari, huku upande wa kashai,kuna njia ya magari,ukienda mwanzoni kidogo mwa run way,unakutana na ki uchochoro cha waenda kwa miguu,katikati ya uwanja kuna ng'ombe zinakula majani,karibia na parking kuna njia ya waenda kwa miguu,wanavuka toka huku kwenda nyamkazi,haya ikitaka kutua kutokea ziwani,kuna njia ya waenda kwa miguu,kuna ng'ombe!!yaani ni vulugu tupu,bora baada ya kuziba ile barabara ya kashai,na kuutanua na kuzungushia feshi sasa ni salama.
siku moja runway yote imejaa waokota senene ndege imekuja inataka kutua,kutokea rumuli huko,ilikuwa balaa,ilibidi irudishe tena juu,
 
Ulishamsikia Heche kapanda Precision pamoja na kila siku kulalama kuhusu Air Tanzania? Lini ulisikia Zitto kapanda Precision? Kwa nini Mbowe anasafiri na Air Tanzania siku zote? Akili kichwani

Tatizo mnaleta siasa Hadi kwenye Mambo ya kitaifa. Wewe ndio huwa unasafiri nao kila siku?. Ndege imeanguka ziwani kwa uzembe wa Viongozi wa Mamlaka ya ndege wa Bukoba.
 
Ha ha ha,lazima uogope mkuu
 
Serikali pia hiangalie huduma la shirika hili wana route nyingi kuliko idadi ya ndege, mara nyingi ndege ikitoka mbeya iyo iyo inaenda mwanza tena ndege iyo iyo jioni inaenda kilimanjalo hii hali inafanya shirika kuangalia pesa zaidi kuliko usalama wa ndege zao.

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…