Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Tujifunze kwa makosa. Nidhahiri controal touwer walikuwa wanajua kilicho msibu rubani, na hatua alizo chukua kujaribu kukabiliana na hiyo hali,. Cha ajabu nikuwa uwanja wandege na vikosi vingine walichelewa kufika kwenye eneo la tukio.

Wakati Rubani alikuwa ana muda anajaribu kutafuta namna ya kutua salama.

Yawezekana pengine ni kutokana na miundo mbinu ya uokoaji, nina amini kila kiwanja cha ndege kilicho karibu na ziwa au bahari kinatakiwa kuwa na kambi malumu ya askari wana maji ambao wamepitia mafunzo ya kukabiliana na ajari kama hizo. Pale Airpot Mwanza , Bukoba sijaona kitengo kama hicho,

Zimamoto wapo lakini Marine wanapaswa kuwepo pia,.
Sikumoja nili shuhudia Rubani wa ndege ya mizigo alinusuru maisha yake na wafanyakazi wenzake hapa Mwanza,,
Baada yakutua ziwa victoria karibu kabisa na uwanja wandege,, na kilicho saidia ndege ilisogea kwenye kina cha maji mafupi hivyo walitoka salama.

Ifahamike kuwa ziko njia ambazo Marubani hutumia kujiokoa baadhi ya njia hizo ni kutua kwenye Miti mirefu au kwenye maji Baharini au Ziwani . [emoji24][emoji24][emoji24]

Itoshe kusema ,, Tume poteza waTanzania wenzetu lakini kwa tukio hili tujifunze na tujipange kwa tahadhari. Nitafurahi kuona Sarikari kama ita weka vikosi hivyo kwenye maeneo hayo huku kukiwa na boat za uokoaji.
 
Siyo treni mkuu?
Mkuu,tatizo la treni I'll useme Usafiri wake Ni salama zaidi inabidi uwe specific unaongelea treni ya aina gani.

Wewe huko mbele uliko Ni sahihi kusema treni Ni salama zaidi maana mnatumia hizo bullets. Sisi huku bongo na Africa kwa ujumla tunapanda hizi za mkaa(garimoshi) tunaanzaje kusema Ni salama zaidi ya ndege? Kilosa to Dar treni inaharibika zaidi ya Mara kumi na wakati mwingine abiria tunakatazwa kupanda na mbuzi na mikungu ya ndizi kuja nayo Dar..treni Kama soko la vingunguti. Linaanzaje kuwa salama kushinda ndege?
 
Yaani Nakumbuka nahisi tulikuwa pamoja kwenye ile ndege kabisa ile situation sitakuja kuisahau maishani mwangu Niliomba sala zotee Niliomba Toba,,Nilikaa na Bibi Mmoja kwenye siti nakumbuka ule mytikisiko ulivyoishaaa tulikumbatiana huku Machozi yakitoka,,Jamani Mungu awalaze hawa ndugu zetu waliopoteza maisha
 
Daah, mkuu. Hii ni ndege ujue na sio Marcopolo au Yutong[emoji1787][emoji1787]

Uendeshaji wa ndege na mabasi ni tofauti. Ina muda wa kutembea na muda wa service
Ninacho ongea nakijua kila siku uwa naziona kampun ina ndege nane tu na saiz zimebak 7 tu

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
 
Exactly, barabarani risks nyingi, utaalamu wa dereva mdogo, leseni ndogo kila mtu na bibi yake wanayo, lakini ya rubani miaka mitano kuipata.

... Kwa hiyo unapokwama Ukuu wake na Uponyaji ni kwenye risks za barabarani. Sasa jana kafeli mpaka angani mpaka majini. Mungu anakwepaje lawama hapa ?
 
Tukisema nyie mnaye jiita wasomi ni mazuzu mnasema tunawatukana haya sasa oneni hizi roho za watu zinapotea kisa uzembe wa serikali na watumishi wa airport
 
Kama nilivyosema awali, ajali nyingi za Barabarani zinasababishwa na uzembe. Mtu anaendesha akiwa amelewa, akiwa na uchovu/usingizi n.k

Vyovyote iwavyo usafiri wa anga bado ni salama kuliko wa Barabara.

Hata hivyo Kuna wakati Mungu anataka kuonesha Ukuu wake kupitia baadhi ya matukio kama hayo.
 
hii part imeniuma sana. Yani lipumbavu limoja na lisimu lake limesababisha watu zaidi wasiokolewe..
 
Nasikia mpaka rubani amefariki, ni kwamba ilizama Ziwani au kipi kilichowaua ? Nijuavyo mimi ndege ni kama ng‘ombe au meli huwa inaelea majini, sas nini kilochowaua?

Samahanini kama nimewakwaza, …
 
Serikali ijifunze mara ngapi, serikali yenu haina maono, viongozi wanawaza kubaki madarakani forever NI 🚮, SAA ngapi watatatua shida za Wana nchi
 
Ndege ya Ethiopian Airline "haikuanguka" kwenye uwanja wa ndege wa Arusha.
 
Tatizo mnaleta siasa Hadi kwenye Mambo ya kitaifa. Wewe ndio huwa unasafiri nao kila siku?. Ndege imeanguka ziwani kwa uzembe wa Viongozi wa Mamlaka ya ndege wa Bukoba.
Viongozi wa mamlaka ya ndege wa Bukoba hawahusiki na kuanguka kwa ndege ila wanahusika na uzembe katika uokoaji baada ya kuanguka ndege. Sijafanya siasa ila lugha picha kuwakilisha mawazo yangu.
 
Yaani eti walete vifaa vyao, then nani awalipe mafuta na nguvukazi yao? Si unajua tena kufa kufaana? Akili ya kibongo unaielewa kwanza?
 
Hii ajali kama ni pilot error ndo imeisha hiyo maskini mana na pilot mwenyewe kafariki hakuna kesi ila kama ni shida ya ndege basi byebye precision airways!

Hopefully tutajua what really happened baada ya uchunguzi!
Kama pilots wamefariki, basi tegemea ripoti ya uchunguzi iegemee kwenye pilot error na miscalculations. Poor Tanzania never learns!
 
Ndege huwa hazipati ajali mara kwa mara lakini huwa ikitokea ajali kupona ni nadra sana.
Na pia tanzania imejaa rushwa jambo ambalo unaweza kuta chombo kina hitilafu ila rushwa ikatumika kikaruhusiwa. Sitaki kucheza maisha yangu kamari
Ndiyo maana zile checkpoints za airports wanakwambia hakuna sababu ya kufanya ukaguzi wa abiria mara ya pili kwa sababu "wanaamini" walifanyiwa ukaguzi wakati wakiingia kituo cha kwanza. Seriously?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…