totlo masire
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 868
- 1,398
Kuna mtu alitabiri juzi hapa kuwa ndege itaanguka tena hapa jamii forums....
Yule jamaa ni mchawi
Bukoba huwa tuna majanga exceptionalBukoba kwa majanga? Mungu wasaidie
Mkuu siku hizi social media zinapata habari faster kuliko hivyo vyombo vya habari,Social media ni watu wengi ambao wapo maeneo mengi tofauti tofauti,so inakua rahisi kupata habari faster.Huwezi amini vyombo vya habari vya Tz breaking news wameipata hapa Jamiiforums na wengine zinapita dk kadhaa hapa lakini bado hakuna breaking news la tukio hili. Tupo nyuma sana ndugu zangu watanzania
namna ya kuuwekaTuwekeeni huo uzi
Kuna mahali hujanielewa mkuu.Huo usafiri ikitokea ajali %90 ni kifo tena abiria wote
Niliuona ule uzi, watu wakambeza sana jamaa, ila kuna mtu akaja akasema jamaa huwa hakosei / hatabiri uongo na leo imetokea.Kuna mtu alitabiri juzi hapa kuwa ndege itaanguka tena hapa jamii forums....
Yule jamaa ni mchawi
Pamoja na yote, ndege ndiyo Usafiri salama zaidi kuliko wowote.
...Alisema Ndege itakayoanguka 'itakatika Vipande Viwili' na Ina Logo nyekundu! Yote hayo hayajatokea Kwa Precision!Kuna mtu alitabiri juzi hapa kuwa ndege itaanguka tena hapa jamii forums....
Yule jamaa ni mchawi
Mkuu ulete huo Uzi hapa tupate maarifa ya kirohoNiliuona ule uzi, watu wakambeza sana jamaa, ila kuna mtu akaja akasema jamaa huwa hakosei / hatabiri uongo na leo imetokea.
Poleni sana wasafiri mliokuwa ktk ndege hiyo
Mkuu nenda kwenye comment namba 25 au namba 30 utaikuta link ya hiyo thd.Tuwekeeni huo uzi
Kwa kawaida maji (ziwa, mito, bahari) ni mahali salama kwa ndege.Doh!
Hiyo neno 'angani' umeongezea weweKuna jamaa mmoja alitabiri ajari ya ndege kutokea lakini alisema itakatika/kupasuka katikati ikiwa angani.
Ushaanza uchawi wako. Wewe tokea kaka mwarabu akubadilishe jinsia umerojoka hadi akiliKuna jamaa mmoja alitabiri ajari ya ndege kutokea lakini alisema itakatika/kupasuka katikati ikiwa angani.
Halafu hao serikali inatumia mtumbwi kuokoa watu? Hii nchi viongozi ni mbwa? Tokea 1996 MV Bukoba hatujajifunza tu? Mbwa hao viongozi