Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Sijui huwa mnamaanisha nini mnaposema "ila kupata ajali uwa ni Mara chache Sana"Huo usafiri sio salama sema kupata ajali hasa kwa nchi za magharibi ni mara chache
Tuwekeeni huo uzi
maharage ya ukweniKuna mtu alitabiri juzi hapa kuwa ndege itaanguka tena hapa jamii forums....
Yule jamaa ni mchawi
Aseme tu hitilafu sio kukosa mawasilianoNDEGE YA PRECISION AIR ILIKUWA IKIJIANDAA KUTUA
Mmoja wa abiria wa Precision Air, Simon Mkina amesema tukio hilo limetokea asubuhi ya leo Novemba 6, 2022 Saa mbili kasoro dakika 10 wakati ndege ikiwa inajiandaa kutua.
Amesema “Nipo eneo la tukio, nilikuwa naisubiri hiyo ndege kurudi Dar es Salaam, ghafla tukaona ndege umepitiliza, rubani ikashindwa kutua kwenye njia yake, inawezekana amekosa mawasiliano au kuna hitilafu ilitokea.
Ameongeza “Mpaka sasa hatujajua nini hasa ni chanzo kwa kuwa rubani mwenyewe bado hajatolewa ndani ya ndege na uokoaji unaendelea.”
===============
Precision air yapata ajali Bukoba ziwa Victoria
View attachment 2408224
View attachment 2408189
View attachment 2408195
===
NDEGE YA PRECISION YAANGUKA ZIWA VICTORIA MJINI BUKOBA
Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022
Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani, uokoaji wa abiria unaendelea.
Taarifa kwa kina zinafuata
Kwamba ndege itaanguka hapa jamii forums. We mkuu utakuwa umeamkia k vantKuna mtu alitabiri juzi hapa kuwa ndege itaanguka tena hapa jamii forums....
Yule jamaa ni mchawi
Wapi mimi nimempa sifa huyo member?Alisema Ndege itakayoanguka 'itakatika Vipande Viwili' na Ina Logo nyekundu!
Yote hayo hayajatokea Kwa Precision!
Msimpe TU Sifa za Kijinga!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo mwishonAanh
Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries
Mika 5 nyuma nakumbuka natoka dar naenda mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano
Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
Kule kwenu kulipoendelea huwa hizi ajali za ndege hazipo?Aanh
Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries
Soma post #2Kuna jamaa mmoja alitabiri ajari ya ndege kutokea lakini alisema itakatika/kupasuka katikati ikiwa angani.
Sidhani kama ni kweli
Ukimjibu mtu mmoja inatosha sio unarudia rudia kama tangazo.Alisema Ndege itakayoanguka 'itakatika Vipande Viwili' na Ina Logo nyekundu!
Yote hayo hayajatokea Kwa Precision!
Msimpe TU Sifa za Kijinga!!
Usafiri wa anga ni kweli ndio salama kuliko usafiri wowote.idadi ya safari za ndege kwa siku duniani ni nyingi sana huenda ni karibu na usafiri wa gari.Pamoja na hivyo ajali ni chache sana kuliko za magari.Sidhani kama ni kweli
Miaka mitano nyuma ndege zilizonunuliwa wakati JPM akiwa Rais zilikua zimeshafika?Aanh
Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries
Mika 5 nyuma nakumbuka natoka dar naenda mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano
Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
Mbona kama unamaind vitu vidogo sana au unaumia jamaa kupewa hata hizo credit ndogo za maneno tu ya hapa jukwaani?Alisema Ndege itakayoanguka 'itakatika Vipande Viwili' na Ina Logo nyekundu!
Yote hayo hayajatokea Kwa Precision!
Msimpe TU Sifa za Kijinga!!
Utopolo itafungwa na waarabuImetokea masaa machache ilipokua ikitaka kutua kwenye kiwanja cha ndege kilichopo bukoba mjini ila ikadumbukia ziwa viktoria. Habari zaidi zinakuja nawaombea abiria wote watoke salama na kuokolewa wote wakiwa bado wapo hai View attachment 2408226
Na utabiri hauwezi kuwa 100% perfect.. Kwakuwa ni utabiriUkimjibu mtu mmoja inatosha sio unarudia rudia kama tangazo.
Wee unadhani ni uongo had video ipoNime google labda nitapata breaking news update nimeingia site yao hakuna habari yoyote napata mashaka na hizi habari jambo kama hili kweli hakuna sehemu tukapata habari za uhakika
Umeshaletwa tayariUtabiri wa yule jamaa umetimia mwenye uzi wake alete hapa aseee