yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,520
- 4,526
Et eehZoezi la utayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Et eehZoezi la utayari
Upewe?Hadi hivi sasa, Taarifa ya vifo haijatolewa bado.
Ka vibwengo....bure kabisa.
Kawaida ya hapa jamvini kupinga kila kituHuo uzi naukumbuka. N watu walimponda sana
Sijaona taarifa ya majeruhi.Hali ya majeruhi na vifo ipoje kwa sasa?
Anza Wewe Kwanza kuniwekea hizo Picha za hao Majeruhi wako / wenu 26 na ukimaliza Mimi nitakuwekea 'Waliodanchi' mazima.We uliona waliokufa, tuletee picha
Et eehHii ni emergency rescue simulation wadau
Watatangaza kwenye HABARI ZA SAA au saa 2 usikuHuwezi amini vyombo vya habari vya Tz breaking news wameipata hapa Jamiiforums na wengine zinapita dk kadhaa hapa lakini bado hakuna breaking news la tukio hili. Tupo nyuma sana ndugu zangu watanzania
AmenEe Mwenyez Mungu,okoa watu wako
Mamlaka wana defenders za kuzuia nandamano.hivi hapo hakuna "coast guard" maana hao bila shaka wangefanya mambo ya kitalaam na kwa haraka kunusuru abiria na ndege.
Ninachoona hapo ni juhudi za wananchi kuokoa wananchi wenzao kwa mbinu za kitaa.
Kuwepo uwanja karibu na ziwa tayari ni alert tosha ya mamlaka kuwa na rescue team uwanjani hapo yenye umahiri katika uokozi wa majini pamoja na vifaa.
Acha mzaha huu ni msiba kuwa basi na hata chembe ya busaraWahaya wote wahojiwe na wawajibishwe.
piga ulete taarifaYupo college mate hospitali ya mkoa wa Kagera ambapo "majeruhi" wamepelekwa ngoja nimpigie nijilidhishe maana CCM sio wa kuwaamini kabisa!
Mitatu imeopolewa, ndo wanaanza rasmi kuwatoa au wameanza mda?I am at the crash site naona miili 3 imeopolewa, gari limeleta magodoro kama 12 ya kulaza maiti, uopoaji unaendelea
Hao ndio manabii wa Jf bhana.Kuna mtu alitabiri juzi hapa kuwa ndege itaanguka tena hapa jamii forums....
Yule jamaa ni mchawi