Uchaguzi 2020 Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

Nani yule mzee wa msimbazi? Mzee wa sumve?
 
Sioni uwiano wa kiuwezo wa kujenga hoja na kukubalika kati ya Bulembo na Zzk. Bila huruma ya rais Magufuli Bulembo bunge angelisikia kupitia tbc taifa
Atakuwa kwenye kitengo Cha kamati ya ufundi
 
Au yule wa mlima wa moto?
 
Mimi naona sheria ile inayo ruhusu elimu ya mbunge ni ile inayo muwezesha ajue kuandika na kusoma tu ni kikwazo sana.

Na hili ccm walilipitisha makusudi ili waendelee kuwapata wabunge wasiyo na uwezo wa kufikiri na kutenda
 
ZITO NI NOUMA KAMZALISHA BINTI YAKE.
THEN HUKO ANAKOKWENDA HATAANGUSHWA VIBAYA MNO....ANAPIGA NDANI NA NJE
 
...nitakuwa nimekuonea?
GADO mnamuharibu ninyi. Ukweli ni kuwa mnachuma dhambi kwa mnachokifanya kwa makusudi. Nakupa pole kwa kutokujua dhambi unayoifanya. Back to your senses, Mkuu. It is not too late.
 
Mimi naona sheria ile inayo ruhusu elimu ya mbunge ni ile inayo muwezesha ajue kuandika na kusoma tu ni kikwazo sana.

Na hili ccm walilipitisha makusudi ili waendelee kuwapata wabunge wasiyo na uwezo wa kufikiri na kutenda
... kuna kitu zaidi ya elimu Mkuu; wengine ni maprofesa na ma-phd lakini ukisikiliza hoja zao zinatia aibu! Nadhani neno maadili linakosekana kwenye siasa zetu; imefika mahali mtu kuongea uongo wa wazi hadharani anashangiliwa badala ya kukemewa!

"Nitasema kweli daima, fitna kwangu mwiko" imebaki tu kama maandishi yasiyo na maana kwenye documents; ni as if hiyo "ahadi" inawaelekeza kutenda kinyume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…