Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

Anayeaibishwa sana si Zitto ni huyo dada Bulembo, tatizo la kuchanganya siasa na familia.
Nawe Dada Bulembo unamsikia dingi kuwa wewe mambo yako unayafanyia vichakani umri huo!
Nimeshangaa sana kama huyo ni mtu mzima anayeweza kuitwa baba.

Familia anaihusishaje na siasa tena za majitaka?

Anaweza kudhani kamdhalilisha Zitto ila atakuwa kamdhalilisha sana binti yake na yeye mzee mwenyewe.

Ina maana Bulembo anazaa watoto cheap wanaoliwa hata vichakani ? Ina maana mwanae hana maadili mpaka anazalishiwa vichakani ?

Mzee kazingua sana hapa aisee
 
Nimeshangaa sana kama huyo ni mtu mzima anayeweza kuitwa baba.

Familia anaihusishaje na siasa tena za majitaka?
Mdada kufanya mapenzi hovyo hovyo wewe ndiye unayedhalilisha familia yako. Mimba za hovyo hovyo wazazi hawazithamini hata kidogo. Wazazi wengi hufukuzia mbali wadada kwenye tabia kama hizo.
 
Waungwana naomba mnijuze starehe zinazofanywa vichakani ndiyo zipi hizo?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mdada kufanya mapenzi hovyo hovyo wewe ndiye unayedhalilisha familia yako. Mimba za hovyo hovyo wazazi hawazithamini hata kidogo. Wazazi wengi hufukuzia mbali wadada kwenye tabia kama hizo.
Binafsi nilikuwa sijui kama binti yake Bulembo anafanyia mapenzi vichakani mpaka niliposikia kutoka kwa baba yake mwenyewe.

Watanzania wa ngapi kawatangazia hili kwa leo tu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…