Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!



Jungle man, no rhyme or reason!
 
Sasa mbona tunaandikia mate na wakati wino upo? Wewe pambana tu kutafuta HELA au MAMLAKA halafu uone na wewe utakavyogeuka na kuwa SOKWE pasipo kujitambua.


Lengo la Binadamu hapa Duniani siyo kulala na Wanawake wengi, hilo wanafanya Masokwe na Nyani, kama ingekuwa hivyo Rostam, Bakhresa au Dewji au hata Mengi (RIP) angeacha kesi za wake za watu kila mahali kwa kulala na Dar nzima na kila siku ungesikia wamelala na wake za watu na kuzaa nao kwa maana kama pesa wanazo labda kama Serikali lkn utakuta wana wake zao na wako waaminifu kwao na Familia zao, ...
 
Naona mfano mzuri wa masokwe ni namna mnavyonitungia utaratibu wa kuishi, kujitawala, kanuni za watawala na watawaliwa yaani Katiba..lakini unakuta utaratibu haifuatwi mambo ni hivyo hovyo tu kama masokwe ya mwituni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii inaitwa usiyemtaka kaja kuowa kwenu
 
Mwaambieni
Walienda Hotelini na sio vichakani kama dingi anavyodai

Wa vichakani ni madogo wale waliopo shuleni
 
Hahahahahah[emoji23][emoji23][emoji23]yahhh

Mzee naona kawaza afu akashikwa na hasira sana[emoji23][emoji23]

Inakuwaje ZZK anamnanii mwanangu hivi[emoji28]
Sasa huyu mzee nae anazeeka vibaya akimwondoa zito mjukuu wake na mwanae haoni kama atapata taaaabu sana
 
wahuni si watu wazuri πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜›
 
Mwislam jina ...mkewe ni mkristo..ndoa ya serikali.. na Halima kama ni kweli..ajipange kwanza asingojee kupangwa!

Zito ni mjanja sana..ana target yule...

Amina chifupa... ... mnakumbuka?
Kwani kuoa mkristo ni dhambi bwashee?

Mzee Makamba alikuwa anaingia hadi Kanisani na maisha yaliendelea katika uislamu wake!
 
Zitto ametuwakilisha vyema Mabaharia..
Safi sana!
 
Mkuu sidhani kama starehe zao za vichakani zimeisha. Huyo binti ni mrembo sana na jamaa bado huonekana naye japo kwa siri kubwa.

ZZK alishamzalisha HALIMA kisha akampiga na chini[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…