Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

Kuna tatizo kubwa katika mawasiliano kati ya Taasisisi, no communication at all. Labda ni kweli hawa wasaidizi wake hawana exposure, mtalii yupo atachagua kwenda Afghanistan asiende Morocco?

Asiende Kenya aje Tanzania kwenye ugaidi? Utalii kitu namba moja ni usalama; wa vyote hata mahali watakapolala.
 
Kuna tatizo kubwa katika mawasiliano kati ya Taasisisi, no communication at all. Labda ni kweli hawa wasaidizi wake hawana exposure, mtalii yupo atachagua kwenda Afghanistan asiende Morocco? Asiende Kenya aje Tanzania kwenye ugaidi? Utalii kitu namba moja ni usalama; wa vyote hata mahali watakapolala.
Akili za akina Siro amekulia Tarime kaja mjini na train kwa bahati atajulia wapi?
 
😁😁😁
2656558_102011131.jpg
 
Back
Top Bottom