Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
1. Nyomi!.
Kiukweli kabisa watu ni wengi ajabu, sijui hata walitoka wapi, mabasi yote yalijaa, watu kwa makundi wanatembea kwa miguu, tumekaa foleni masaa 3!.
Hii maana yake Bulldozer Mwamposa, ana nguvu za upako wa mvuto wa watu kwenye mikutano yake!, nisichokijua ni the source of those powers if they are the powers of light, or the powers of darkness, hivyo, wanachofanyiwa hao the multitudes is nothing but hypnosis, watu wanafanyiwa hypnotism, wanakuwa hypnotized, hivyo huwaambii kitu kuhusu Mchungaji wao.
Mimi pia japo ni Mkristo wa lile kanisa moja Kuu, Takatifu la Mitume, ambao tunaamini kwenye Utatu Mtakatifu na asili ya binadamu ni dhambi hivyo tunaamini kwenye ubatizo mmoja, kuungama na maondoleo ya dhambi, hivyo hapa duniani hatuamini imani za wokovu.
Ila Maza wangu (RIP), alikuwa mlokole na kunichagulia wife aliyeokoka, hivyo wife ni mlokole fulani hivi, from time to time huwa namsindikiza, na kuwafuatilia wahubiri mahubiri yao kwenye TV, na humu nimeisha wahi kupandisha threads zaidi ya 10 kuwahusu wahubiri mbalimbali na miongoni mwake ni hizi
Hiki ndicho kilichotokea, PA iliotumika ilikuwa too powerful kwa usiku mkubwa hivyo kuleta noise pollution na nuisance trespass kwa majirani na maeneo ya karibu.
Mimi naishi Mbezi Juu, Goba Rd. Usiku sikulala kwa kelele za mahubiri.
Itambidi Mwamposa awatumie watu wa sound technician wamashauri PA ya kufunga na sound set up ya speaker za aina moja, na zikae equal distance kwa kuangaliana at 90 degree angles ili sauti zigongane at the centre na kusambaa hapo watu wanapokesha bila kuwakera majirani.
Mkesha wa jana, wafuasi wake wamekesha, majirani wote, Wakristo na Waislamu wamekesha watake wasitake!.
Hasara za mkesha wa kuwahubiri watu, wakusikilize watake wasitake ni kero kwa waumini wa dini nyingine ambao nao lazima wakeshe watake wasitake!.
Faida za huu mkesha, ukimsikia hata bila kuhudhuria, ukaamini anachohubiri, unaponywa!. Hivyo mahubiri hayo, yanasaidia wengi, wakiwemo ndugu zetu wa imani tofauti!. Faida ni kubwa kuliko kero!.
Msomi kama wewe umeshakubali kurogwa nae kimiujiza? Nitafute nikupe anakotoa hizo dawa Msumbiji na Congo dr uende nawe ukachukue kisha uanze kukubalika na wanahabari wenzako wote na hatimaye mama nae (Rais) akuone na akupe uteuzi kwani najua japo ulisema hutaki uteuzi ila walio karibu nawe wanasema sasa una njaa mno na siyo yule waliyekuwa wakikujua na umebaki tu kupiga deiwaka Star TV na kwingineko.
Kakaa hatareer nimetokaaa saa 0620am nilichomwomba Mungu niwe na nguvu kama zake za kuombaa aisee mwamba ana stamina hatareee yaaan kipindi chapilii alivyorudi kama pakomeeeeee wayaa nkaanza onaa majiran zangu pemben smart wanagalagala nkajua kumekucha ngoja niweke na mie miguu sawa hataree