Bumbuli kabla hujawafagilia makolo umepitia takwimu hizi za Yanga ya manji?

Februari mwaka 2016 Yanga ya Manji iliingia kampeni ya kuiwakilisha Tanzania na kuanzia kwenye klabu bingwa wanaanzia hatua ya awali wakipangwa na Cercle de Joachim ya Mauritius Yanga inashinda ugenini 1-0 na nyumbani 2-0 wanavuka na kuingia hatua ya pili

Hapa wanakutana na APR ya Rwanda Yanga wanashinda 2-1 ugenini na kutoa sare 1-1 nyumbani Daslama wanavuka na kuingia hatua ya tatu ambayo kwa utaratibu wa siku hizi tungesema ameingia group stage Hapa anakutana na kigingi AL Ahly ya Cairo Yanga anaanzia nyumbani na kutoa sare 1-1 na ugenini unapigwa mpira mkubwa sana Yanga inapoteza kwa 2-1 goli la Donald Ngoma krosi ya Juma Abdul

Hadi hapa Yanga haijafungwa mechi yoyote nyumbani dare s salaam

Yanga inarudishwa play off ya shirikisho na inapangwa na Sagrada Esperanca ya Angola Yanga inashinda 2-0 nyumbani na kupoteza ugenini 1-0

Ikiwa haijapoteza mchezo wowote nyumbani Yanga inavuka na kuingia hatua ya makundi hatua ambayo kwa siku hizi ingeitwa robo fainali kwa maana ni makundi mawili tu na kila kundi timu nne ambapo inapangwa na Mo Bejaia, TP Mazembe na Medeama ya Ghana

Katika mechi za makundi za nyumbani Yanga anamfunga Mo Bejaia 1-0 anatoa sare na Medeama 1-1 na kufungwa mechi moja tu na TP Mazembe 1-0

Hii ikasababisha Nchi ya Tanzania itoke kusikojulikana na kushika nafasi ya 16 kati ya nchi 56 Afrika
LINK
Kama wameiiingiza Tanzania kwenye nchi 12 kati ya 56 basi wajue tulishawahi kufika 16 yaani zilibaki timu 4 tu tuwe 12 na tupeleke timu 4

Pia Yanga ikawa timu pekee Tanzania kuingia kwenye Rank za CAF ikiwa nafasi ya 26 Afrika watani zao wakiwa matopeni kipindi hicho
LINK

Pia msimu huo wa 2016 Yanga ilicheza mechi saba nyumbani ikapoteza mechi moja dhidi ya TP Mazembe

Kiujumla msimu ambao Manji alikuwepo Yanga 2014-2018 Yanga ilicheza mechi 21 uwanja wa nyumbani na kupoteza mechi 3 tu kwa kuwa watu hupenda kubisha nimekuwekea mechi moja moja na mashindano husika ujikumbushe

  • Yanga ilimfunga Komorozine 7-0 (Champion’s league 2014 preliminary round)
  • Yanga ilimfunga Al-Ahly ya Misri 1-0 (Champion’s league 2014 First round) wanaenda kutolewa kwa penalt Misri
  • Yanga anamfunga BDF XI 2-0 (Caf Confederation Cup 2015 preliminary round)
  • Yanga anamfunga FC Platnum ya Zimbabwe 5-1(Caf Confederation Cup 2015 first round)
  • Yanga anatoka sare 1-1 na Etoile du Sahel ya Tunisia (Caf Confederation Cup 2015 second round) anatolewa ugenini
  • Yanga anamfunga Cercle de Joachim 2-0 (Champion’s league 2016 preliminary round)
  • Yanga anatoka sare na APR 1-1 (Champion’s league 2016 first round)
  • Yanga anatoka sare na AL-Ahly 1-1 (Champion’s league 2016 second round)
  • Yanga anamfunga Sagarda esperanca 2-0 (CAF Confederation cup play off 2016 third round)
  • Yanga anamfunga Mo bejaia 1-0 (CAF Confederation cup 2016 group stage)
  • Yanga anatoka sare na MEDEAMA 1-1 (CAF Confederation cup 2016 group stage)
  • Yanga anapoteza kwa TP Mazembe 1-0 (CAF Confederation cup 2016 group stage)
  • Yanga anatoka sare 1-1 na Ngaya Club ya Comoro (CAF Champions league 2017 first round)
  • Yanga anamfunga anatoka sare na Zanaco 1-1 (CAF Champions league 2017 Second round)
  • Yanga anamfunga MC Algiers ya Algeria 1-0 (CAF Confederation Cup play off 2017)
  • Yanga anamfunga Saint Louis suns 1-0 (CAF Champions league 2018 first round)
  • Yanga anapoteza dhidi ya Township rollers 2-1 (CAF Champions league 2018 second round)
  • Yanga anaifunga welayta Dicha 2-0 Play off Caf confederation cup 2018
  • Yanga anasuluhu na Rayon Spot 0-0 ( Caf confederation cup 2018 group stage)
  • Yanga anamfunga USM algier ya Algeria 2-1 ( Caf confederation cup 2018 group stage)
  • Yanga anapoteza kwa gor Mahia 3-2 ( Caf confederation cup 2018 group stage)
Unateseka ukiwa wapi? Historian

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Nyinyi ndio mnachelewesha maendeleo, nilitegemea hapa utaonesha Yanga ya Manji iliwahi kuingia group stage kumbe unaandika takataka tupu.

Ugomvi wa wana Yanga kwa uwekezaji uliopo Sasa Yanga haikupaswa kustragle kwenye hizi mechi za CAF na hasa hizi Preliminary rounds.

Yanga ni lazima iweze kumantain kuingia group stage kila mwaka huko ndio tunapaswa kuwa.

Kuna faida kubwa ya kucheza group stage, kucheza mechi 6 za kimataifa nyumbani na ugenini kwenye group stage ni exposure kubwa sana kwa wachezaji wenyewe na soko lao pia.
Sahihi kabisa
 
Hapa umeongea kama mwanamichezo..like yangu kwa mara ya kwanza
 
Tuanzie hapo hapo.

Kikosi hicho cha 2016 Vs kikosi cha sasa.

2016 tulikuwa na Wachezaji wangap Wacongo?

Kwenye hiki kikosi Nani angepata namba kwenye kikosi cha 2016?

Namaanisha Nani angemuweka benchi Donald Ngoma?

Nani anasambaza mipira kuliko Thabani Kamusoko?

Moloko Vs Mrisho Ngasa

Kisinda Vs SAIMON Msuva.

Uanze na Dickson Job then Vicent Bousou akae benchi?

Juma Abdul Vs Kibwana Shomary?
 
Kikosi hiki cha sasa cha Yanga ndio kikosi bora kuliko wakati wowote ule usijilishe upepo.
 
Club africain Wana check tu historia yenu ilivyo nzuri
 
Februari mwaka 2016 Yanga ya Manji iliingia kampeni ya kuiwakilisha Tanzania na kuanzia kwenye klabu bingwa wanaanzia hatua ya awali wakipangwa na Cercle de Joachim ya Mauritius Yanga inashinda ugenini 1-0 na nyumbani 2-0 wanavuka na kuingia hatua ya pili

Hapa wanakutana na APR ya Rwanda Yanga wanashinda 2-1 ugenini na kutoa sare 1-1 nyumbani Daslama wanavuka na kuingia hatua ya tatu ambayo kwa utaratibu wa siku hizi tungesema ameingia group stage Hapa anakutana na kigingi AL Ahly ya Cairo Yanga anaanzia nyumbani na kutoa sare 1-1 na ugenini unapigwa mpira mkubwa sana Yanga inapoteza kwa 2-1 goli la Donald Ngoma krosi ya Juma Abdul

Hadi hapa Yanga haijafungwa mechi yoyote nyumbani dare s salaam

Yanga inarudishwa play off ya shirikisho na inapangwa na Sagrada Esperanca ya Angola Yanga inashinda 2-0 nyumbani na kupoteza ugenini 1-0

Ikiwa haijapoteza mchezo wowote nyumbani Yanga inavuka na kuingia hatua ya makundi hatua ambayo kwa siku hizi ingeitwa robo fainali kwa maana ni makundi mawili tu na kila kundi timu nne ambapo inapangwa na Mo Bejaia, TP Mazembe na Medeama ya Ghana

Katika mechi za makundi za nyumbani Yanga anamfunga Mo Bejaia 1-0 anatoa sare na Medeama 1-1 na kufungwa mechi moja tu na TP Mazembe 1-0

Hii ikasababisha Nchi ya Tanzania itoke kusikojulikana na kushika nafasi ya 16 kati ya nchi 56 Afrika
LINK
Kama wameiiingiza Tanzania kwenye nchi 12 kati ya 56 basi wajue tulishawahi kufika 16 yaani zilibaki timu 4 tu tuwe 12 na tupeleke timu 4

Pia Yanga ikawa timu pekee Tanzania kuingia kwenye Rank za CAF ikiwa nafasi ya 26 Afrika watani zao wakiwa matopeni kipindi hicho
LINK

Pia msimu huo wa 2016 Yanga ilicheza mechi saba nyumbani ikapoteza mechi moja dhidi ya TP Mazembe

Kiujumla msimu ambao Manji alikuwepo Yanga 2014-2018 Yanga ilicheza mechi 21 uwanja wa nyumbani na kupoteza mechi 3 tu kwa kuwa watu hupenda kubisha nimekuwekea mechi moja moja na mashindano husika ujikumbushe

  • Yanga ilimfunga Komorozine 7-0 (Champion’s league 2014 preliminary round)
  • Yanga ilimfunga Al-Ahly ya Misri 1-0 (Champion’s league 2014 First round) wanaenda kutolewa kwa penalt Misri
  • Yanga anamfunga BDF XI 2-0 (Caf Confederation Cup 2015 preliminary round)
  • Yanga anamfunga FC Platnum ya Zimbabwe 5-1(Caf Confederation Cup 2015 first round)
  • Yanga anatoka sare 1-1 na Etoile du Sahel ya Tunisia (Caf Confederation Cup 2015 second round) anatolewa ugenini
  • Yanga anamfunga Cercle de Joachim 2-0 (Champion’s league 2016 preliminary round)
  • Yanga anatoka sare na APR 1-1 (Champion’s league 2016 first round)
  • Yanga anatoka sare na AL-Ahly 1-1 (Champion’s league 2016 second round)
  • Yanga anamfunga Sagarda esperanca 2-0 (CAF Confederation cup play off 2016 third round)
  • Yanga anamfunga Mo bejaia 1-0 (CAF Confederation cup 2016 group stage)
  • Yanga anatoka sare na MEDEAMA 1-1 (CAF Confederation cup 2016 group stage)
  • Yanga anapoteza kwa TP Mazembe 1-0 (CAF Confederation cup 2016 group stage)
  • Yanga anatoka sare 1-1 na Ngaya Club ya Comoro (CAF Champions league 2017 first round)
  • Yanga anamfunga anatoka sare na Zanaco 1-1 (CAF Champions league 2017 Second round)
  • Yanga anamfunga MC Algiers ya Algeria 1-0 (CAF Confederation Cup play off 2017)
  • Yanga anamfunga Saint Louis suns 1-0 (CAF Champions league 2018 first round)
  • Yanga anapoteza dhidi ya Township rollers 2-1 (CAF Champions league 2018 second round)
  • Yanga anaifunga welayta Dicha 2-0 Play off Caf confederation cup 2018
  • Yanga anasuluhu na Rayon Spot 0-0 ( Caf confederation cup 2018 group stage)
  • Yanga anamfunga USM algier ya Algeria 2-1 ( Caf confederation cup 2018 group stage)
  • Yanga anapoteza kwa gor Mahia 3-2 ( Caf confederation cup 2018 group stage)
Watu walokuja mjini baada ya Mo Dewj kuimiliki mikia hawawezi kuelewa.Misimu kadhaa Makolo hawakushiriki champions leage Wala confederations .Na hapo jina la kimataifa likazalishwa na Jerry Muro.
 
Nyinyi ndio mnachelewesha maendeleo, nilitegemea hapa utaonesha Yanga ya Manji iliwahi kuingia group stage kumbe unaandika takataka tupu.

Ugomvi wa wana Yanga kwa uwekezaji uliopo Sasa Yanga haikupaswa kustragle kwenye hizi mechi za CAF na hasa hizi Preliminary rounds.

Yanga ni lazima iweze kumantain kuingia group stage kila mwaka huko ndio tunapaswa kuwa.

Kuna faida kubwa ya kucheza group stage, kucheza mechi 6 za kimataifa nyumbani na ugenini kwenye group stage ni exposure kubwa sana kwa wachezaji wenyewe na soko lao pia.
Labda hujasoma vizuri andiko Manji aliingia group stage mara mbili 2016 na 2018 na ushahiidi huu hapa

2018 CAF Confederation Cup group stage - Wikipedia Pimbi wee
 
Nyinyi ndio mnachelewesha maendeleo, nilitegemea hapa utaonesha Yanga ya Manji iliwahi kuingia group stage kumbe unaandika takataka tupu.

Ugomvi wa wana Yanga kwa uwekezaji uliopo Sasa Yanga haikupaswa kustragle kwenye hizi mechi za CAF na hasa hizi Preliminary rounds.

Yanga ni lazima iweze kumantain kuingia group stage kila mwaka huko ndio tunapaswa kuwa.

Kuna faida kubwa ya kucheza group stage, kucheza mechi 6 za kimataifa nyumbani na ugenini kwenye group stage ni exposure kubwa sana kwa wachezaji wenyewe na soko lao pia.
Mzee Matola leo umeamka vizuri
 
Sasa shule lianzishwe somo la historia ya yanga mana yanga haina tofauti na kinjikitile ngware kila siku yanga iliwahi fanya vile iliwahi fanya hivi
 
Februari mwaka 2016 Yanga ya Manji iliingia kampeni ya kuiwakilisha Tanzania na kuanzia kwenye klabu bingwa wanaanzia hatua ya awali wakipangwa na Cercle de Joachim ya Mauritius Yanga inashinda ugenini 1-0 na nyumbani 2-0 wanavuka na kuingia hatua ya pili

Hapa wanakutana na APR ya Rwanda Yanga wanashinda 2-1 ugenini na kutoa sare 1-1 nyumbani Daslama wanavuka na kuingia hatua ya tatu ambayo kwa utaratibu wa siku hizi tungesema ameingia group stage Hapa anakutana na kigingi AL Ahly ya Cairo Yanga anaanzia nyumbani na kutoa sare 1-1 na ugenini unapigwa mpira mkubwa sana Yanga inapoteza kwa 2-1 goli la Donald Ngoma krosi ya Juma Abdul

Hadi hapa Yanga haijafungwa mechi yoyote nyumbani dare s salaam

Yanga inarudishwa play off ya shirikisho na inapangwa na Sagrada Esperanca ya Angola Yanga inashinda 2-0 nyumbani na kupoteza ugenini 1-0

Ikiwa haijapoteza mchezo wowote nyumbani Yanga inavuka na kuingia hatua ya makundi hatua ambayo kwa siku hizi ingeitwa robo fainali kwa maana ni makundi mawili tu na kila kundi timu nne ambapo inapangwa na Mo Bejaia, TP Mazembe na Medeama ya Ghana

Katika mechi za makundi za nyumbani Yanga anamfunga Mo Bejaia 1-0 anatoa sare na Medeama 1-1 na kufungwa mechi moja tu na TP Mazembe 1-0

Hii ikasababisha Nchi ya Tanzania itoke kusikojulikana na kushika nafasi ya 16 kati ya nchi 56 Afrika
LINK
Kama wameiiingiza Tanzania kwenye nchi 12 kati ya 56 basi wajue tulishawahi kufika 16 yaani zilibaki timu 4 tu tuwe 12 na tupeleke timu 4

Pia Yanga ikawa timu pekee Tanzania kuingia kwenye Rank za CAF ikiwa nafasi ya 26 Afrika watani zao wakiwa matopeni kipindi hicho
LINK

Pia msimu huo wa 2016 Yanga ilicheza mechi saba nyumbani ikapoteza mechi moja dhidi ya TP Mazembe

Kiujumla msimu ambao Manji alikuwepo Yanga 2014-2018 Yanga ilicheza mechi 21 uwanja wa nyumbani na kupoteza mechi 3 tu kwa kuwa watu hupenda kubisha nimekuwekea mechi moja moja na mashindano husika ujikumbushe

  • Yanga ilimfunga Komorozine 7-0 (Champion’s league 2014 preliminary round)
  • Yanga ilimfunga Al-Ahly ya Misri 1-0 (Champion’s league 2014 First round) wanaenda kutolewa kwa penalt Misri
  • Yanga anamfunga BDF XI 2-0 (Caf Confederation Cup 2015 preliminary round)
  • Yanga anamfunga FC Platnum ya Zimbabwe 5-1(Caf Confederation Cup 2015 first round)
  • Yanga anatoka sare 1-1 na Etoile du Sahel ya Tunisia (Caf Confederation Cup 2015 second round) anatolewa ugenini
  • Yanga anamfunga Cercle de Joachim 2-0 (Champion’s league 2016 preliminary round)
  • Yanga anatoka sare na APR 1-1 (Champion’s league 2016 first round)
  • Yanga anatoka sare na AL-Ahly 1-1 (Champion’s league 2016 second round)
  • Yanga anamfunga Sagarda esperanca 2-0 (CAF Confederation cup play off 2016 third round)
  • Yanga anamfunga Mo bejaia 1-0 (CAF Confederation cup 2016 group stage)
  • Yanga anatoka sare na MEDEAMA 1-1 (CAF Confederation cup 2016 group stage)
  • Yanga anapoteza kwa TP Mazembe 1-0 (CAF Confederation cup 2016 group stage)
  • Yanga anatoka sare 1-1 na Ngaya Club ya Comoro (CAF Champions league 2017 first round)
  • Yanga anamfunga anatoka sare na Zanaco 1-1 (CAF Champions league 2017 Second round)
  • Yanga anamfunga MC Algiers ya Algeria 1-0 (CAF Confederation Cup play off 2017)
  • Yanga anamfunga Saint Louis suns 1-0 (CAF Champions league 2018 first round)
  • Yanga anapoteza dhidi ya Township rollers 2-1 (CAF Champions league 2018 second round)
  • Yanga anaifunga welayta Dicha 2-0 Play off Caf confederation cup 2018
  • Yanga anasuluhu na Rayon Spot 0-0 ( Caf confederation cup 2018 group stage)
  • Yanga anamfunga USM algier ya Algeria 2-1 ( Caf confederation cup 2018 group stage)
  • Yanga anapoteza kwa gor Mahia 3-2 ( Caf confederation cup 2018 group stage)
Umeshakula mihogo leo?
 
Watu walokuja mjini baada ya Mo Dewj kuimiliki mikia hawawezi kuelewa.Misimu kadhaa Makolo hawakushiriki champions leage Wala confederations .Na hapo jina la kimataifa likazalishwa na Jerry Muro.
Hiyo historia haisadii chochote kwa sasa, ukumbuke na hizi basi.
FB_IMG_1613519164902.jpg
 
Watu walokuja mjini baada ya Mo Dewj kuimiliki mikia hawawezi kuelewa.Misimu kadhaa Makolo hawakushiriki champions leage Wala confederations .Na hapo jina la kimataifa likazalishwa na Jerry Muro.
Wewe ambaye umekuja mjini siku nyingi ume achieve nini kwenye maisha yako? Usikute unaishi kwa shemeji yako dadako akiwajibika unaishia kusonya tu jinsi shemeji anavyomkita
 
... Hii ikasababisha Nchi ya Tanzania itoke kusikojulikana na kushika nafasi ya 16 kati ya nchi 56 Afrika
Hapa unawadanganya wasiojua mzee baba. Ranking ya soka ya nchi inapimwa katika mechi za timu ya Taifa tu, na sio vilabu vya ligi yake
 
Back
Top Bottom