Bumbuli kabla hujawafagilia makolo umepitia takwimu hizi za Yanga ya manji?

Mleta Mada Kwa bandiko lako mbumbumbu fc umewapiga ngumi ya pua, saaizi kamasi zinavuja tu.[emoji1][emoji1][emoji1]
Halafu simba ndio timu ya kwanza kupigwa tano tano ugenini halafu wanajiita timu kubwa
 
Watu walokuja mjini baada ya Mo Dewj kuimiliki mikia hawawezi kuelewa.Misimu kadhaa Makolo hawakushiriki champions leage Wala confederations .Na hapo jina la kimataifa likazalishwa na Jerry Muro.
Simba wengi ni waleo walianza kushabikia mpira juzi Ila ukweli miaka Kama kumi kuanzia 2008 mpaka 2028 mwakilishi wa kweli wa nchi alikuwa Yanga sc

Tatizo mpira umevamiwa now!!! Watu wanajifanya hawajui kilichofanyika ligi yetu miaka ya 2007 ilikuwa ya 48 kwa ubora africa lakini by 2018 ilikuwa ya 16 je nani aliipaisha?

Simba ni timu ya kelele na propaganda tu!!!!
 
Halafu simba ndio timu ya kwanza kupigwa tano tano ugenini halafu wanajiita timu kubwa
Wewe gongowazi hii unaikumbuka au ulikuwa bado unacheza mdako?
FB_IMG_1613519164902.jpg
 
Simba wengi ni waleo walianza kushabikia mpira juzi Ila ukweli miaka Kama kumi kuanzia 2008 mpaka 2028 mwakilishi wa kweli wa nchi alikuwa Yanga sc

Tatizo mpira umevamiwa now!!! Watu wanajifanya hawajui kilichofanyika ligi yetu miaka ya 2007 ilikuwa ya 48 kwa ubora africa lakini by 2018 ilikuwa ya 16 je nani aliipaisha?

Simba ni timu ya kelele na propaganda tu!!!!
Unajiabisha bure bora ukae kimya tu.
 
Unaenda mbali vipi mechi za kirafiki zanaco,vipers
 
Simba wengi ni waleo walianza kushabikia mpira juzi Ila ukweli miaka Kama kumi kuanzia 2008 mpaka 2028 mwakilishi wa kweli wa nchi alikuwa Yanga sc

Tatizo mpira umevamiwa now!!! Watu wanajifanya hawajui kilichofanyika ligi yetu miaka ya 2007 ilikuwa ya 48 kwa ubora africa lakini by 2018 ilikuwa ya 16 je nani aliipaisha?

Simba ni timu ya kelele na propaganda tu!!!!
Huu ni mwaka 2022 wala hatujafika 2028, hoja kwa Sasa hatutaki wawakilishi Bali tunataka washindani, hata Ihefu inawakilisha eneo lao kwenye ligi kuu, tuachane na ujinga.

Kitu pekee kwa mwaka huu wachezaji na viongozi watapigiwa saluti zote kama wanakwenda kufia uwanjani na kushinda ugenini Tunisia.
 
Simba wengi ni waleo walianza kushabikia mpira juzi Ila ukweli miaka Kama kumi kuanzia 2008 mpaka 2028 mwakilishi wa kweli wa nchi alikuwa Yanga sc

Tatizo mpira umevamiwa now!!! Watu wanajifanya hawajui kilichofanyika ligi yetu miaka ya 2007 ilikuwa ya 48 kwa ubora africa lakini by 2018 ilikuwa ya 16 je nani aliipaisha?

Simba ni timu ya kelele na propaganda tu!!!!
IMG_20221104_082201.jpg
View attachment 2408108
 
Mabingwa wa kihistoria yanga hawana tofauti na wale wazee wa zamani wanakwambia darasa la nne la zamani sasa hivi ni kama chuo kikuu maana ilikuwa ngumu kufika na ukifika kazi nje nje ndio kama huyu mleta mada ndio maana mnajiita mabingwa wa kihistoria.
 
Maelezo mengi halafu upupu tu Sasa hizo preliminary round ndio unatamba hapa ndio itafuta yanga kutofika japo makundi? Hovyo
 
Back
Top Bottom