Bumbuli kabla hujawafagilia makolo umepitia takwimu hizi za Yanga ya manji?

Unateseka ukiwa wapi? Historian

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Sahihi kabisa
 
Hapa umeongea kama mwanamichezo..like yangu kwa mara ya kwanza
 
Tuanzie hapo hapo.

Kikosi hicho cha 2016 Vs kikosi cha sasa.

2016 tulikuwa na Wachezaji wangap Wacongo?

Kwenye hiki kikosi Nani angepata namba kwenye kikosi cha 2016?

Namaanisha Nani angemuweka benchi Donald Ngoma?

Nani anasambaza mipira kuliko Thabani Kamusoko?

Moloko Vs Mrisho Ngasa

Kisinda Vs SAIMON Msuva.

Uanze na Dickson Job then Vicent Bousou akae benchi?

Juma Abdul Vs Kibwana Shomary?
 
Kikosi hiki cha sasa cha Yanga ndio kikosi bora kuliko wakati wowote ule usijilishe upepo.
 
Club africain Wana check tu historia yenu ilivyo nzuri
 
Watu walokuja mjini baada ya Mo Dewj kuimiliki mikia hawawezi kuelewa.Misimu kadhaa Makolo hawakushiriki champions leage Wala confederations .Na hapo jina la kimataifa likazalishwa na Jerry Muro.
 
Labda hujasoma vizuri andiko Manji aliingia group stage mara mbili 2016 na 2018 na ushahiidi huu hapa

2018 CAF Confederation Cup group stage - Wikipedia Pimbi wee
 
Mzee Matola leo umeamka vizuri
 
Sasa shule lianzishwe somo la historia ya yanga mana yanga haina tofauti na kinjikitile ngware kila siku yanga iliwahi fanya vile iliwahi fanya hivi
 
Umeshakula mihogo leo?
 
Watu walokuja mjini baada ya Mo Dewj kuimiliki mikia hawawezi kuelewa.Misimu kadhaa Makolo hawakushiriki champions leage Wala confederations .Na hapo jina la kimataifa likazalishwa na Jerry Muro.
Hiyo historia haisadii chochote kwa sasa, ukumbuke na hizi basi.
 
Watu walokuja mjini baada ya Mo Dewj kuimiliki mikia hawawezi kuelewa.Misimu kadhaa Makolo hawakushiriki champions leage Wala confederations .Na hapo jina la kimataifa likazalishwa na Jerry Muro.
Wewe ambaye umekuja mjini siku nyingi ume achieve nini kwenye maisha yako? Usikute unaishi kwa shemeji yako dadako akiwajibika unaishia kusonya tu jinsi shemeji anavyomkita
 
... Hii ikasababisha Nchi ya Tanzania itoke kusikojulikana na kushika nafasi ya 16 kati ya nchi 56 Afrika
Hapa unawadanganya wasiojua mzee baba. Ranking ya soka ya nchi inapimwa katika mechi za timu ya Taifa tu, na sio vilabu vya ligi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…