Uchaguzi 2020 Bunda: Haijawahi kutokea Esther Bulaya avunja rekodi akusanya watu kwa maelfu,Wazee wa mji wasema niyeye tu Bunda Mjini Oct 25

Uchaguzi 2020 Bunda: Haijawahi kutokea Esther Bulaya avunja rekodi akusanya watu kwa maelfu,Wazee wa mji wasema niyeye tu Bunda Mjini Oct 25

Huu mtiti umezidi maadhimisho ya ccm kimkoa yaliyofanyika kiwanja hichohicho.Katika safari zangu kanda ya ziwa nilibahatika kuliona hili
Huyo ndiyo kiboko ya Wasira

In God we Trust
 
Huyu binti ni jembe kweli kweli, ni mwanamke wa shoka, tena mimi najisikia very proud kum spot toka kitambo!, angalia tarehe ya bandiko hili

P
Namuona ndugu yako MM kaLIKE.
 
Kwani huu kukubaliwa ndio inamaanisha inaruhusiwa? Kumekuwa na tabia ya kuzuia mikutano kumi ya cdm, kisha unaruhusiwa mkutano mmoja halafu nyie watetezi wa uovu mnakuja hapa kusema eti mikutano haizuiwi.
Hiyo ni tafsiri yako, siwezi kukuzuia kutafsiri.
 
Kunakauli moja ya marehemu Capten John Komba aliisema enzi za uhai wake

Yakwamba CCM ni kama nyavu ya korokoro
Alisema wabunge wengi wa CCM ni vilaza wachache ndiyo wapambanaji
 
Ushaanzaaaga kuwaakerekeaaa
Inawezekana...ila hizo picha unaziamini...Kama sijakosea nafahamu wewe ni professional photographer pia

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...

Usiwe mjinga ww mzee, mikutano ya hao cdm inazuiwa 10, kisha unaruhusiwa mmoja ili kufuta ushahidi kuwa mikutano ya wapinzani haizuiwi. Usitake kujifanya hujui ukweli huu eti kisa leo umeona huo mkutano mmoja.
 
Mkuu usihangaike na waliokata tamaa ya maisha
 
Duh.. !, sii mchezo!.
Huyu binti toka longi ni mwanamke wa shoka

Ila pia usidanganywe na makundi ya watu.

P

Tume huru ya uchaguzi tu ndio msema kweli.
 
Huyu binti ni jembe kweli kweli, ni mwanamke wa shoka, tena mimi najisikia very proud kum spot toka kitambo!, angalia tarehe ya bandiko hili

P
Huna lolote wewe kibaraka msaliti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom