Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Jamaa wana roho mbaya sana hawa
In God we Trust
CCM reloaded! CCM oyee.View attachment 1366627
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM reloaded! CCM oyee.View attachment 1366627
Hata Lowassa ilikuwaga hivi hivi bwashee!Wanabodi Salaam!
Sina maneno mengi tazameni huu mtiti halafu Magufuli anasema anaweza kuua Upinzani Tanzania,
View attachment 1366552View attachment 1366553View attachment 1366554
View attachment 1366555
View attachment 1366556View attachment 1366557
Huyo ndiyo kiboko ya WasiraHuu mtiti umezidi maadhimisho ya ccm kimkoa yaliyofanyika kiwanja hichohicho.Katika safari zangu kanda ya ziwa nilibahatika kuliona hili
Namuona ndugu yako MM kaLIKE.Huyu binti ni jembe kweli kweli, ni mwanamke wa shoka, tena mimi najisikia very proud kum spot toka kitambo!, angalia tarehe ya bandiko hili
PMbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!
Wanabodi, Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio kubwa la ushujaa mkubwa katika medani za siasa. Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya...www.jamiiforums.com
Leo lazima magonjwa ya moyo yatalipukaHata Lowassa ilikuwaga hivi hivi bwashee!
Hiyo ni tafsiri yako, siwezi kukuzuia kutafsiri.Kwani huu kukubaliwa ndio inamaanisha inaruhusiwa? Kumekuwa na tabia ya kuzuia mikutano kumi ya cdm, kisha unaruhusiwa mkutano mmoja halafu nyie watetezi wa uovu mnakuja hapa kusema eti mikutano haizuiwi.
Kivipi?Wacha kujifariji
In God we Trust
Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Ashakum si matusi we mzee nakushauri ukacheki afya ya ubongo kidogo.Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Nyoka Wa Ndumilakuwili Huuma Akivuvia 😐😶🤨😑Lini utaacha unafiki
Hahahaaaaa......... Siasa ni sayansi bwashee.Leo lazima magonjwa ya moyo yatalipuka
In God we Trust
Inawezekana...ila hizo picha unaziamini...Kama sijakosea nafahamu wewe ni professional photographer pia
Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Namuona biashara yake ya kuuza vitabu vya dr slaa ameiachaLini utaacha unafiki
Hakika watu wakiingia ccm wananyofolewa ubongo .Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Mkuu usihangaike na waliokata tamaa ya maishaUsiwe mjinga ww mzee, mikutano ya hao cdm inazuiwa 10, kisha unaruhusiwa mmoja ili kufuta ushahidi kuwa mikutano ya wapinzani haizuiwi. Usitake kujifanya hujui ukweli huu eti kisa leo umeona huo mkutano mmoja.
Duh.. !, sii mchezo!.
Huyu binti toka longi ni mwanamke wa shoka
Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!
Wanabodi, Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio kubwa la ushujaa mkubwa katika medani za siasa. Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya...www.jamiiforums.com
Ila pia usidanganywe na makundi ya watu.
Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu
Wanabodi, Nimepita hapa Jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za UKAWA, mchana huu saa 8:45, kitu nilichokishuhudia, kama kipimo uha ushindi wa uchaguzi, ni Idadi ya watu waliojitokeza kwa ridhaa zao, bila kuhongwa Tshirt na kofia, nauli na shibe ya siku moja, na ikatokea umati wote huu ni umati...www.jamiiforums.com
P
Huna lolote wewe kibaraka msaliti.Huyu binti ni jembe kweli kweli, ni mwanamke wa shoka, tena mimi najisikia very proud kum spot toka kitambo!, angalia tarehe ya bandiko hili