Bunda: Lissu atangaza kubadili Sheria ya madini, kwamba atajayeyagundua kwenye ardhi yake yatakuwa yake

Mhuu hili kidogo lina walakini, kwani sheria inasema ardhi ni mali ya Serikali, ukinunua unapewa possession right tu lakini siyo mali yako. Aisee labda kama ataanza kwa kulibadili hilo.
Mnasomaje taarifa wakuu?
Huoni anasema wakiingia madarakani watabadili sheria?
 
Umeambiwa watabadilisha sheria.wewe unakuja na maelezo mengi kujifanya mjuaji kumbe hakuna kituAu uelewi maana ya kubadilisha kitu?.
 
Yuko sahihi. Ilipogundulika gesi Mtwara, nilisikia kiongozi mkubwa akisema"Sasa tushindwe kutajirika kwa kufungua mahoteli,kuuza vinwaji,mama ntilie kuuza mandazi sana kwa wawekezaji". Huyu kiongozi sitamtaja,lakini cha ajabu alipostaafu hajishughulishi na hayo aliyowaambia watatajirikia wananchi . Kiongozi hasa wa nchi zetu za Kiafrika, kupata laana ya Mungu siyo lazima uuwe watu.
 
Kwa Katiba hii labda kama akiteuliwa kuwa mgombea wa CCCM.

NB; Baada ya 2026 CCCm itakuwa history.
toka kipindi cha lowasa mlisema hivyohivyo nyie makuwadi ya warabu koko lakin 2020 yule mbwa wa chato akaona chadema mziki mnene akasanda.
 
Lissu kachanganyikiwa. Hicho anachokisema ni ujinga mtupu. Bora hata angesema kwamba madini yakigunduliwa kwenye ardhi yako na wewe unakuwa shareholder wa kampuni itakayochimba uwe unapata mrabaha.
wewe ndio umechanganyikiwa maana ni mpigaji unaona madini akimilikishwa mwenye eneo mtakosa upigani mliozoea.
 
Hakuna sheria ya kimataifa inayozipangia nchi jinsi kumiliki au kutumia rasilimali zake, ni uongo mtupu.
 
wewe ni mpumbavu kama makuwadi wenzio ya dpworld unasema toka mwaka 1960 makumaliano ya kimataifa natural resources ni mali ya serikali lakin hayo makubaliano umeshindwa kuyaweka lete hapa hiyo international convention tuione bwege wewe.
 
Ujinga huu, Nyerere angeleta sheria ya hivyo Kuna maskini angekuwa na Ardhi?

Ataishia kuota mchana tuu
 
Ujinga huu, Nyerere angeleta sheria ya hivyo Kuna maskini angekuwa na Ardhi?

Ataishia kuota mchana tuu
Mkuu, wakati wa Nyerere,tulikuwa na mfumo wa Uchumi wenye kufuata siasa za Ujamaa na Kujitegemea ambapo mali ya asili kama ardhi nk ni mali ya Umma. Conversely, tulipoanza kuachana na siasa hizo,tuk a ingiza vichwa vyetu kwenye mfumo tofauti ambao hata kwenye katiba yetu haupo, ndipo shida ilipoanzia.
Watu hasa viongozi wa juu wakaanza kujimegea ardhi na maliasili kwa kigezo cha Soko huria na uwekezaji. Wanaharakati wa kuutetea huu mfumo zaidi ni viongozi wa ngazi za juu,wenye nafasi n zaidi mafisadi.
Wananchi wa kawaida wenye nchi wameachwa solemba wakabaki wakiambiwa tunawajengea shule zahanati,barabara nk.
Swali kwako, ni kosa kuwaambia wananchi ukweli kuwa hii dahabu ni mali yenu? Kuwa, mnshitaji kuwa sehemu ya uwekezaji na siyo kusubiri "vimatunda" vya uwekezaji?
Mkuu, inaonekana unahitaji elimu zaidi. Lisu yuko sahihi pamoja na kuwa mimi siyo wa Chama chake
 
Sheria ya kuanza nayo ni ya umiliki wa ardhi.
Lazima ardhi iwe chini ya umiliki wa raia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…