Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

Du jamani tukimbilie wapi? Hii Tanzania ya v-wonder sasa imegeuka nchi ya mauti. Ni lini udhalimu huu utakomeshwa katika nchi hii ya kusadikika?
 
Fanya busara kidogo kwa kuigiza kama nawewe ni mtu timamu.

Unaharibu upepelezi kwa kuingiza siasa. Au wewe ndio muhusika hapa unafanya hivi kuwapotosha wapelelezi?
Mpuuzi, tena ju.ha mkubwa! Mwigulu alipowatangazia umma wa watanzania kwamba Nondo amejiteka kabla upelelezi haujakamilika, yeye hakuharibu upelelezi? A notorious TWIT at work!
 
....Acha porojo wewee, eti unaharibu upelelezi haya mambo yameanza leo?
Achana nalo hilo bwabwa linakuumiza kichwa bure. Mwigulu kaharibu upelelezi wa Nondo na poliCCM bado wanamshikilia Nondo kinyume cha sheria halafu hili senge linakuja kutuambia upumbavu wake hapa.
 
Na pesa wanayolipwaga kufanya huo umafia ni 400k hela nyingi sana kwao
 
Maskini,naimagine jinsi alivyoteseka kuchinjwa bila nganzi,Binadamu ni zaidi ya mnyama.Babu yangu aliniambia zamani ukiona Binadamu unapata moyo,siku hizi ni bora ukutane na Simba kuliko Binadamu mwenzako.
Hizo habari za kuchinjwa sijaziona kwenye original post. Is it fo real alichinjwa?
 
Kwa hali ya Tz kwa sasa, Heri ukutane na simba porini anaweza kukuacha salama kuliko kukutana na binadamu porini au maeneo tata.

Trust nobody except Jesus Christ only.

Mungu akuweke unapostahiri Samson Josiah.
Amen.
Yesu mwenyewe alishakufa kitambo sana hana msaada wowote ule.
 
Nafikiri waliomuua wataishi milele. Tunakoelea huku kuna watu wataanza kuweweseka sana kwa haya mambo wanayofanya.
USALAMA WA WANANCHI NI MDOGO SANA.SIJUI TATIZO IPO WAPI.KUNA KITENGO IPO KAZINI NDYO HYO ILIYOMZURU LISU
 
Achana na siasa kwenye kila jambo mtoto. Mtu kafa we unaulizia alikuwa chama gani. Unataka ukampe kadi ya chama chako au?
umempa jibu zuri sana hao ndo wale wanaofurahia vifo vya watu, mtu kafa basi chama kitakusaidia nn? Pole nyingi naipa familia yake mungu amlaze mahali pema.
 
we nae haueleweki sasa..inamaana maombi yako hauyaamini au mungu uliemuomba hapo hawezi kukujibu mpaka umeanza na kushtaki kwa JPM aingiie kati? hahaha kuwa na msimamo basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…