Kila kitu kinaendeshwa kwa maagizo kutoka juu, mawaziri wa awamu ya tano ni kama ma messenger tu.Ningelikuwa mimi ndio Waziri wamambo ya ndani ningejiuzulu kwani hivi sasa hali imezidi kuw ambaya lawama zote nije kuzipata mimi eti kwa sababu ya cheo changu cha U-Waziri wa mambo ya ndani? nitakwenda kusema nini kwa Mungu?
Wameshaanza kulitumia kisiasa.Hii inasikitisha sana kwa unyama uliofanywa kwa huyu ndgu na mtanzania mwenzetu ila pia ntashangaa sana kama hili tukio kuna watu watalitumia agenda yao ya kisiasa kwa hili watakuwa wamerwong step mbaya sana
Police wako chini ya wizara gani?Na hili nalo mnataka waziri wa mambo ya ndani alijibu acheni fikra za kipumbavu hili swala lipo chini ya police na mamlaka ya upelelezi ya makosa ya jinai na siyo waziri
Tayari naona limeshaanza kuwa fursa kwao hata hili ntashangaa sana tunakoelekea siyo kuzuriWameshaanza kulitumia kisiasa.
Kwa kifupi wameishiwa ajenda.Tayari naona limeshaanza kuwa fursa kwao hata hili ntashangaa sana tunakoelekea siyo kuzuri
Kwani alipoongelea inshu ya Abdul Nondo ilikua ipo chini ya nani Shangazi yako??Na hili nalo mnataka waziri wa mambo ya ndani alijibu acheni fikra za kipumbavu hili swala lipo chini ya police na mamlaka ya upelelezi ya makosa ya jinai na siyo waziri
Ni kweli yeye ndio msimamizi mkuu Wa wizara. Lakini bado atapata majibu baada ya polisi kumaliza uchunguzi wao.Police wako chini ya wizara gani?
Tanzania si nchi salama tenaNingelikuwa mimi ndio Waziri wa mambo ya ndani ningejiuzulu kwani hivi sasa hali imezidi kuwa mbaya lawama zote nije kuzipata mimi eti kwa sababu ya cheo changu cha U-Waziri wa mambo ya ndani? nitakwenda kusema nini kwa Mungu?
Sincerely speaking atakuwa ameumia na ameteseka mateso makubwa kuliko ambavyo mtu anaweza kufikiria. Hakika huu ni moja ya mfano kwamba lazima kuna siku ya mwisho ili kila mmoja wetu akalipwe haki yake kwa yale aliyoyatenda hapa duniani.Maskini,naimagine jinsi alivyoteseka kuchinjwa bila nganzi,Binadamu ni zaidi ya mnyama.Babu yangu aliniambia zamani ukiona Binadamu unapata moyo,siku hizi ni bora ukutane na Simba kuliko Binadamu mwenzako.
Binafsi naamini wauwaji walimshikilia kwa muda kwani hata kuchoma gari yake ni njia ya kupunguza evidence .Daaa.., siku zote hizo ndo aonekane Leo Mtoni au walimshikilia kwa Muda kabla ya kuamua kumtoa uhai? Na je lilikotelekezwa gari lake na huko alikopatikana ni maeneo ya karibu ama maeneo mawili tofauti?
Maswali ni mengi sana kuliko majibu, apumzike panapostahili...,
Nakubaliana nawe bro Chinatown. Kwa nyongeza pia inaweza kuwa WAMEDHULUMIANA ktk biadharaBinafsi naamini wauwaji walimshikilia kwa muda kwani hata kuchoma gari yake ni njia ya kupunguza evidence .
Ikumbukwe kuwa siku zote mauaji kama haya yana sura tatu (3)
1.KISASI
2.MAPENZI
3.PESA
SO kama jeshi letu lingekuwa linafanya kazi kwa weledi nadhani issue ya kukamata wahusika ni simple tu