Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

Wandugu natafuta kozi ya kudukua mitandao, nikipata ujuzi huo mimi itakuwa sicheleweshi kuleta ushahidi.

Vyombo husika vina access na mawasiliano ya wahanga ila itapita miaka bado uchunguzi unaendelea.
 
Insikitisha sana namna watu wanavyotumia muda wao mwingi kulazimisha kuwa amani imepotea, wanasahau kwamba watanzania wanaakili za kuona kama amani imepotea ama la, na sio kusubiri kuambiwa na wanasiasa uchwara wa vyama uchwara.
 
Roma na Moni (wanabahati)
 



...... ?????????
 
Labda anataka aunganishe doti,mauaji ya Diwani wa CDM Kule Moro, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI kule Kasulu na hili LA huyu tajiri ili ahitimishe kuwa mauaji ya sasa yamewalenga wapinzani.
Tungoje atakuja kuyajibu maswali yako yeye mwenyewe.
Haya ni mambo ya kibiashara, kuna mtu alikuwa anadaiwa hapo, nahisi anahusika..,
 
Jamaa aliwanyima ccm mabasi ya kupeleka watu kwenye mkutana na hilo nalo tulione


Swissme


Mungu wetu wa Amani na Mungu wa faraja, ukawape faraja ndugu wa familia hii iliyopatwa na msiba huu mzito. Hakuna mtu aliye na haki ya kutoa uhai wa mtu mwingine. Tukio hili kwa kweli limenitouch sana. RIP Samson Josiah.
 

Ni rahisi sana kutambua kama ni mwili wake kwa sababu kuna kitu kinaitwa DNA, na wanachofanya nikuchukua DNA yandugu yake na kuilinganisha na DNA ya marehemu. Lakini hata kama si watanzania jamani jinsi huyo marehemu alivyo fungwa inaumiza na kufadhaisha moyo.
 
Lini umesikia tamko la mkuu kuhusu maiti za viroba au mauaji yeyote akikemea toka ameingia madarakani,hawezi kuepuka hizi tuhuma watu wake ndio wahusika wakuu
Amen hawa ni watu wasiojulikana ambao wanaongozwa na Mhutu pamoja na Bashite.
 
Usalama Wa Raia umekuwa changamoto viongozi wa Juu haswa Minister Mwigilu ni wakati wako sasa ujitathimini na Uone kama una fit kuwa hapo

Jamani Mwigulu Nchemba ni messenger ila wahusika hapa ni Mhutu na Bashite.
 
Ndio maana maandiko yanasisitiza kuwa, 'tutafute kwa bidii kuwa na amani na watu wote'... Angefanya hivyo, huenda haya yasingemtokea ndugu tajiri...
Kwa hiyo ni kosa lake si la Mhutu na Bashite ambao wamekuwa wakishutumiwa kwa mauaji mengi Tanzania. Na jinsi mhutu alivyo mbabe angekuwa mbogo lakini kwa sababu anahusika na yeye ni msema kweli hawezi kusema chochote.
 
Wahutu ndiyo wako hivyo wapenzi watanzania. Sisi mungu ametujalia utu ndiyo maana mioyo yetu ina majonzi sana. Lakini Mungu wa haki anawaona.
 
Bila shaka marehemu ni chadema. Wasiojulikana kutoka chama kileeee wamefanya kazi yako
!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…