Kuna watu wanatazama mambo visivyo kabisaaa... YEHODAYA haoni ukuwa jambo hili na anajiona yuko salama kabisa.... JIRANI YAKO AKINYOLEWA WEWE TIA MAJI...
Maelezo yako yote hapa sio sahihi kabisa. Hapo ndio mnapojichanganywa ccm dhidi ya yale yaliyosemwa wakati ule wa BMKMambo ya muungano tuliyokubaliana ni ulinzi na usalama.Kuna majeshi ya muungano Zanzibar na yale yasiyo ya muungano.Mfano kuna JKU,KMKM na vikosi vya usalama vya Zanzibar nk.Zazibar pia wana mkuu wa majeshi na polisi, wa nchi ya Zanzibar.Kikiinuka Zanzibar nmkuu wa Jeshi wa Zanzibar na majeshi yaliyo chini yake aweza kiinukisha baada ya kupewa amri na amiri jeshi wa Zanzibar kamanda Shein.Kama akiona ANAHITAJI MSAADA basi amiri jeshi mkuu wa zanzibar aweza kubaliana na mkuu wa Majeshi wa Zanzibar kuwa vikosi vya muungano viingile kumsaidia
Lakini kwenye Swala la uchaguzi wa Zanzibar hauhusu muungano wala bunge la muungano sababu ule ni wa nchi huru ya Zanzibar yenye raisi wake,katiba yake,baraza lake la wawakilishi,jaji mkuu wake na sheria zao ambazo ni tofauti na Tanzania bara mfano mwezi wa Ramadhani mwiko kula barabarani na hotel kuwa wazi na serikali husimamia hilo.
Bunge la muungano kujitosa kujadili mambo ya ndani ya nchi huru ya zanzibar ni uingiliaji na uvunjaji katiba
Labda hujui wajibu wa bunge letu.
Wajibu wa kuingilia kazi za ZEC ndio siujui!Labda hujui wajibu wa bunge letu.
Jecha alifuta Uchaguzi wa wawakilishi na Rais SMZ, wale wabunge wa majimbo wapo humo
Zanzibar wana majeshi yao na mkuu wa majeshi kama ambavyo wana jaji mkuu wa Zanzibar.Amiri jeshi wa Zanzibar ni Raisi wa Zanzibar.kwani
Vita ikitokea Zenji watasubiri majeshi ya muungano ndo yaende au ni hayahaya tuliyonayo ndo yatahusika?????????????
Ndugu yangu hayo yako ni yakweli ila tatizo ni kwamba ukiona moto unashika kasi kwa jirani nawe wapaswa kuchukua tahadhari hata kama moto haupo kwako lkn hata huo moshi unaofukuta kwa jirani pia unaweza kukuathiri. Tuwaunge mkono kwa hilo kama ni kweli.Sisi watanganyika tuna shida ya barabara, maji, umeme, huduma bora za afya na elimu, masoko ya uhakika, mbinu bora za kilimo na kuongeza tija, ajira kwa vijana na mambo meengi, wabunge tumewaagiza mkatutekelezee haya.....
Miaka mitano sio mingi.....shauri yenu
NAHISI KUNA WEEEEEENGI SANA KAMA YEHOYADA HUMU jf WANAOONA MACHAFUKO YA zANZIBAR KAMA MOVIE YA RAMBO NA CHUCKNORIS VILE, WANASAHAU WALE NI NDUGU ZETU KABISA NA MAUMIVU YAO NI YETU, HERI YA WEWE nGALIKHINJA UNAYELIONA HILI.Kuna watu wanatazama mambo visivyo kabisaaa... YEHODAYA haoni ukuwa jambo hili na anajiona yuko salama kabisa.... JIRANI YAKO AKINYOLEWA WEWE TIA MAJI...
Zanzibar wana majeshi yao na mkuu wa majeshi kama ambavyo wana jaji mkuu wa Zanzibar.Amiri jeshi wa Zanzibar ni Raisi wa Zanzibar.
Anayejua hali ya amani na Usalama ya zanzibar ni raisi wa Zanzibar na mkuu wa majeshi wa Zanzibar sio BUNGE la muungano au UKAWA
Sisi watanganyika tuna shida ya barabara, maji, umeme, huduma bora za afya na elimu, masoko ya uhakika, mbinu bora za kilimo na kuongeza tija, ajira kwa vijana na mambo meengi, wabunge tumewaagiza mkatutekelezee haya.....
Miaka mitano sio mingi.....shauri yenu
Zanzibar ni nchi itajitatulia matatizo yake yenyewe walisha jikamilishia wana bendera yao na mamlaka yao
Sio wana matatizo ni kujitoa ufahamu wakati kila kitu kipo wazi hivi visingizio vya jeshi ni maamuzi yao hata wakiweka jeshi lao ni sawa tu sioni kama kunakitu kinawabana kujijengea na jeshi laoMkuu kuna watu wana matatizo wanadhani Zanzibar ni mtoto wa Serikali ya Muungano ILE ni nchi kamili na huru na yenye taasisi zake na uwezo wake yenyewe wa kutatua mambo yake.Watayamaliza wenyewe wenye nchi yao
Hivi huoni hili la uchaguzi ambalo si la muungano likiachwa litaharibu usalama ambao ni wa muungano..???Mambo ya muungano tuliyokubaliana ni ulinzi na usalama.Kuna majeshi ya muungano Zanzibar na yale yasiyo ya muungano.Mfano kuna JKU,KMKM na vikosi vya usalama vya Zanzibar nk.Zazibar pia wana mkuu wa majeshi na polisi, wa nchi ya Zanzibar.Kikiinuka Zanzibar nmkuu wa Jeshi wa Zanzibar na majeshi yaliyo chini yake aweza kiinukisha baada ya kupewa amri na amiri jeshi wa Zanzibar kamanda Shein.Kama akiona ANAHITAJI MSAADA basi amiri jeshi mkuu wa zanzibar aweza kubaliana na mkuu wa Majeshi wa Zanzibar kuwa vikosi vya muungano viingile kumsaidia
Lakini kwenye Swala la uchaguzi wa Zanzibar hauhusu muungano wala bunge la muungano sababu ule ni wa nchi huru ya Zanzibar yenye raisi wake,katiba yake,baraza lake la wawakilishi,jaji mkuu wake na sheria zao ambazo ni tofauti na Tanzania bara mfano mwezi wa Ramadhani mwiko kula barabarani na hotel kuwa wazi na serikali husimamia hilo.
Bunge la muungano kujitosa kujadili mambo ya ndani ya nchi huru ya zanzibar ni uingiliaji na uvunjaji katiba
Hapa ndio mnapojichanganya tofauti na yale mliyokuwa mnakataa kuhusu muungano wa serikali tatu.Mkuu kuna watu wana matatizo wanadhani Zanzibar ni mtoto wa Serikali ya Muungano ILE ni nchi kamili na huru na yenye taasisi zake na uwezo wake yenyewe wa kutatua mambo yake.Watayamaliza wenyewe wenye nchi yao
USIWE MCHOCHEZI WEWE! NANI WAKULETA MACHAFUKO ZNZ KAMA SI WEWE? MAANA UCHAGUZI UTARUDIWA MWEZI MACHI NA RAIS ATAPATIKANAHivyo vyote vitakuwa haiva tija bila ya kuwa na amani upande wa pili wa Muungano,kumbuka pia ndani ya bunge litakalo anza kunawawakilishi kutoka ZNZ na ndio maana likaitwa BUNGE LA JAMUHURI WA MUUNGANO nasio BUNGE LA TANGANYIKA.
kukitokea machafuke kule mzigo mkubwa utatuelemea sisi wananchi kwa kuwa kodi na na mzagazaga mengine yatakuwa yanahudumia wakimbizi toka znz
Upo sahihi kabisa. Lakini hali ya usalama ikiwa mbaya ndani ya sehemu ya muungano itakuwa vigumu kuyafanya yote hayo. Hebu ona ya kule Mtwara tuu kuhusu gas yalivyotusumbua! Na Zanzibar kuiacha bila kuijadili na kupata ufumbuzi ni sawa na kuwa na chui ndani ya nyumba ambaye yuko usingizini na kutegemea atalala daima.
Tusikubali nchi yetu sehemu moja ikageuka kama Somalia, ikifikia hapo hatuta weza kuidhibiti bila damu zetu kumwagika
USIWE MCHOCHEZI WEWE! NANI WAKULETA MACHAFUKO ZNZ KAMA SI WEWE? MAANA UCHAGUZI UTARUDIWA MWEZI MACHI NA RAIS ATAPATIKANA
Hapa ndio mnapojichanganya tofauti na yale mliyokuwa mnakataa kuhusu muungano wa serikali tatu.
Kumbuka wizara za mambo ya ndani na ulinzi ni za muungano na Amiri jeshi wa majeshi ya ulinzi na usalama ni MMOJA TUU naye ni Magufuli.
Rais wa Zanzibar hana mamlaka ya kumuamuru,kumuwajibisha au kumhamisha hata kumteua kiongozi yeyote wa JWTZ au Polisi aliyeko kule hivyo Bunge linamamlaka ya kujadili shughuli zao za kule. Halina mamlaka ya kujadili KMKM, MAFUNZO au Voluntia
Hivi huoni hili la uchaguzi ambalo si la muungano likiachwa litaharibu usalama ambao ni wa muungano..???
Unazungumzia haya mazungumzo ambayo muhusika mkuu kajitoa..??? DALILI MBAYA HIYO... Halafu unaposema wazanzidar wanazungumza, hivi JPM aliyewaita ni Mzazibar...??? Kama ishu ingekuwa uzazinzibar, basi tusingesikia wala kuona watu wa bara wanazungumza....Likiachwa na nani? Wanzanzibari wenyewe wako kwenye mchakato wa mazungumzo na kurudia uchaguzi.Liko kwenye process kwenye nchi yao Kutaka kuingilia ndio mwanzo wa uvunjaji katiba wa bunge.Tubaki kwenye katiba na tuheshimiane mipaka iliyoainishwa kwenye katiba.