Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kwa spika Ndugai wasitegemee hoja ya Zanzibar kujadiliwa bungeni na uelewe Zanzibar haitakuwa na mwakilishi wao kwenye kikao hicho kwani wale watano waliokuwa wamechaguliwa na uchaguzi kufutwa baadae hawawezi kujumuika bunge la muungano. Hivyo tegemea spika kuwaambia hoja hiyo ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar. Wakingangania spika hatakuwa na simile ya kuwatoa nje. Watoe hoja binafsi nyingine ila hiyo hofu ni hiyo.
Na nadhani hata wabunge wa upinzani wamelijua hilo hivyo kicheko na kunyenyekea kwao no mwiko. Sasa ni mbwai mbwai tuu. Wote wanahaki sawaHata mimi najua kiti cha Ndugai na Tulia kitakuwa zaidi ya kile cha Makinda na wala watu wasitegemee haki inayoombwa kwa kucheka
Kwan Mkuu kura gani zimeibiwa. Kuna wizi wa kura Zanzibar. Umesikia mtu akilalamika kuwa kaibiwa kura Zanzibar. Hayo yote ni mawazo yako. Kila mtu anailalamikia tume. Au unatumia nn kuwaza. Jaribu kuushughulisha ubongo wakoYoote hayo unayobwabwaja yana halalisha uwizi wa kura na kudhulumu hata kama umeshindwa ?! Tunaongozwa na Unafiki sio sheria
We kweli mgeni bongo. Hiwajui sisiemu wewe hapo hakuna kujadiliwa kityWadau habari nilizopata kutoka Dodoma hivi punde ni kuwa siku ya Jumanne Bungeni Dodoma moto utawaka kwani kuna hoja itatolewa ya kujadili suala la Zanzibar kama suala la dharura na kuwa shughuli zingine zisiendelee mpaka hilo lipatiwe ufumbuzi kwanza.
Hoja hiyo pamoja na kutoka upinzani lakini habari ni kuwa wapo wabunge wengi wa ccm wanaiunga mkono bila kujali mikakati waliyopewa kikao cha Kinana majuzi.
Wabunge hawataki uvunjifu wa amani utokee ndio eti hatua zichukuliwe, kwani kimya cha watu visiwani sio kuwa hali ni shwari.
Nimeileta kama nilivyoisikia kutoka reliable source
Kwan Mkuu kura gani zimeibiwa. Kuna wizi wa kura Zanzibar. Umesikia mtu akilalamika kuwa kaibiwa kura Zanzibar. Hayo yote ni mawazo yako. Kila mtu anailalamikia tume. Au unatumia nn kuwaza. Jaribu kuushughulisha ubongo wako
actually iko hivi,..Nilichoandika kina ukweli........Tanganyika tumevaa koti la muungano.....mimi ni ACT Mzalendo
We subiri utaja ona mbona m7da ushafika bado cku 4 tu.Soma sentensi ya mwisho. "Nimeileta kama nilivyoipokea kutoka reliable source"
OSwala la uchaguzi wa Zanzibar si swala la muungano.Bunge la muungano kulijadili hilo Swala ni kuvunja katiba ya nchi
Dah ccm kuwa na watu kama nyinyi nawashangaa kweli hivi rais wa Zanzibar si anakuwa waziri katika serekali ya mungano?Swala la uchaguzi wa Zanzibar si swala la muungano.Bunge la muungano kulijadili hilo Swala ni kuvunja katiba ya nchi
Bunge linataka kufanya kazi za ZEC?
"Zanzibar Nchi ya kimapinduzi aichukuliwi kwa karatasi"
Nani aliyekwambia kurudia uchaguxi ni kuitumbokiza Zenje kwenue machafuko? Na kwanini iwe Marufuku?O
Wee inaonekana hujitambui. Zanzibar ni sehemu ya Muungano na ndiyo maana JPM anatakiwa kulishughulikia jambo hili.Unaposema si swala la Muungano sijui kwa mantiki gani?
Zanzibar kukichafuka ni Tanzania imechafuka.Naunga mkono hoja.Naomba
Wabunge hasa UKAWA na wale CCM walivalie njuga jambo hili Uchaguzi Zanzibar uksmilishwe kwa malizia kuhesabu kura na kutangaza MATOKEO ya Urais na Uwakilishi wa Baraza la Mapinduzi! KURUDIA UCHAGUZI ZANZIBAR NI MARUFUKU NA MARUKUFU!
Swala la CCM kung'ang'ania kurudia Uchaguzi ni KUTAKA KUITUMBUKIZA ZANZIBAR KWENYE VURUGU VURUGU ZA KIJINGA!
Zanzibar wana majeshi yao na mkuu wa majeshi kama ambavyo wana jaji mkuu wa Zanzibar.Amiri jeshi wa Zanzibar ni Raisi wa Zanzibar.
Anayejua hali ya amani na Usalama ya zanzibar ni raisi wa Zanzibar na mkuu wa majeshi wa Zanzibar sio BUNGE la muungano au UKAWA
Sasa kwanini haitwi serekali ya Tanganyika hii Tanzania inakuwaje?Mkuu kuna watu wana matatizo wanadhani Zanzibar ni mtoto wa Serikali ya Muungano ILE ni nchi kamili na huru na yenye taasisi zake na uwezo wake yenyewe wa kutatua mambo yake.Watayamaliza wenyewe wenye nchi yao
Sioni sababu za kushikilia Zanzibar kama moja Ya eneo la Tanzania! Ni dhahiri kabisa kwamba wazanzibar wanataka kujitawala, lakini ccm wanaona wakikubali kushindwa zanzibar basi ndio njia Ya kujitenga kwa Zanzibar, ivo basi mimi sioni umuimu wa Zanzibar kuwendelea ku nyanaswa kiasi hiki na swala hili halito isha hadi pale zanzibar itapo jitenga na kuwa nchi huru na huu ndio undani wa mzozo ila watu wengi hawajuwi ilohapo ndipo utakapoelewa unafiki wa ccm kungangania serikali mbili na umuhimu wa kuwa na serikali tatu.tungekuwa na serikali tatu swala la zanzibar lisinge zungumziwa kwenye bunge la Tanganyika
Zec wamesababisha tukose fedha zs maendeleo za MCC ..tutawabeba mpaka lini Waznz ...hata ccm wameshindwa wakitoe hatuwezi ku sacrifyBunge linataka kufanya kazi za ZEC?