mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,003
Siyo hajui Kiswahili, mambo ya kugugumizi hayo!
Huyo jamaa ni mkenya na kampuni anayotoka ni ya kikenya. Kwa kweli inasikitisha sana watanzania kujidhalilisha namna hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo hajui Kiswahili, mambo ya kugugumizi hayo!
Mimi sijaona bajeti ya CDM,nimesikia outline tu......and from the look of things,it's a crappy ass budget,haiendani na ilani yao ya uchaguzi,nawapongeza chadema kwa kutoa bajeti in advance...... ni learning tool
Acheni pumba au ndo the more u study the more u become craiz ukikosa kabisa jadili hata kati ya wachumba ulionao nani mkali kuliko wenzie
Huyo jamaa ni mkenya na kampuni anayotoka ni ya kikenya. Kwa kweli inasikitisha sana watanzania kujidhalilisha namna hii
Licha ya kigugumizi, hajui vizuri lugha ya Kiswahili.Siyo hajui Kiswahili, mambo ya kugugumizi hayo!
Licha ya kigugumizi, hajui vizuri lugha ya Kiswahili.
Chadema ni kama mwanamke mjamzito akifanyiwa zuri kwake karaha akifanyiwa baya ndio tabu! Sasa mnataka Serikali ipuuze kila linalosemwa na Upinzani!
Acheni pumba au ndo the more u study the more u become craiz ukikosa kabisa jadili hata kati ya wachumba ulionao nani mkali kuliko wenzie
Tril.1 mirad ya maendeleo, vitambulisho vya taifa bil 355, wameshapata mdhabuni
Ulitaka watu wachangieje sasa? Kama umekubali kwamba CCM wanatekeleza baadhi ya mapendekezo ya CDM, tusiwapongeze CDM kwa kuwaonyesha njia CCM ambao walishapoteza dira zamani?
Bila CDM nchi sasa hivi ingekua hovyoooooooo ... I can sense and feel the Power of CDM hata kama bado hawajachukua nchi.
Ume misspellHapo mbona umejijibu mwenyewe maana naona wewe ndio wa kwanza kutoka mwisho zaidi ya wachangiaji wote humu na kama ni pumba zako ni za ulezi ambazo sio useful hata kwa kuku, kwenye red ume miss spelling au ndo ku copy na ku paste hata ujinga wa mwenzio bila editing?
This has been the case since the 2010 Elections,
1. New constitution
2. Chuo cha uongozi
3. ...........................
4. ......................